Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,941
- 51,061
Kama Rais John Magufuli anasifiwa kwa kuchukua maamuzi ambayo watangulizi wake walishindwa kuchukua na pia anasifiwa kwa kufanya yale ambayo watangulizi wake walishindwa kufanya. NI kwa nini basi kina John Mnyika walipokuwa wanasema Kikwete ni dhaifu kwa kushindwa kuchukua hatua kwa uharibifu uliofanywa na Mtangulizi wake Mkapa walishutumiwa?
Kwa haya yanayofanywa na Magufuli kama vile kufukuza wafanyakazi hewa, kutaka kubadili mikataba ya madini, kufuta safari za nje, na mengine mengi si dalili kwamba mtangulizi wake alilea mambo yasiyofaa kwa nchi yetu? Wale waliokuwa wanamtetea Kikwete kwamba si dhaifu leo hii bado wanamtetea angalau kwa maneno tu? CCM ina watu wasio na msimamo kabisa!
Si kwamba kuwa Kikwete hana mambo mema alipokuwa Rais. Kwa mfano aliachilia watu wafanye walichoona kinafaa mradi hawavunji sheria, aliendesha siasa za uchangamano, alijenga haiba ya ushirika kitaifa na kimataifa. Bila shaka kwa haya wapo pia wanaomkumbuka!!

Lakini wapinzani waseme nini wakati wao wapo wachache? Kila mwaka ni watanzania husikika wakisema wapinzani hawajakomaa kushika nchi, cha ajabu hao waliokomaa ndiyo hao kila siku wanatutengeneza uoza unaolenda harufu ya uvundo wa ufisadi kwenye jamii yetu. Inawezekana CCM imekomaa kwenye kufanya ufisadi na vitisho kiasi kwamba wananchi wanaiogopa?Siyo CCM tu hata wengi ya wananchi wasio na vyama hawajitambui. We need uprising ya nguvu kushikisha adabu hawa viongozi wapuuzi waliotuibia.
Makada wa CCM maarufu wamekiri hadharani kwamba waliona udhaifu huu lakini walishindwa kuuongelea.Mmoja alisema wazi, "tungeanzia wapi,"kwa maana walikuwa wamezibwa midomo kwa kuwa jambo hili lilikuwa la wakubwa.Kiukweli tumeibomoa CCM kwa mikono yetu wenyewe.Kama Rais John Magufuli anasifiwa kwa kuchukua maamuzi ambayo watangulizi wake walishindwa kuchukua na pia anasifiwa kwa kufanya yale ambayo watangulizi wake walishindwa kufanya. NI kwa nini basi kina John Mnyika walipokuwa wanasema Kikwete ni dhaifu kwa kushindwa kuchukua hatua kwa uharibifu uliofanywa na Mtangulizi wake Mkapa walishutumiwa?
Kwa haya yanayofanywa na Magufuli kama vile kufukuza wafanyakazi hewa, kutaka kubadili mikataba ya madini, kufuta safari za nje, na mengine mengi si dalili kwamba mtangulizi wake alilea mambo yasiyofaa kwa nchi yetu? Wale waliokuwa wanamtetea Kikwete kwamba si dhaifu leo hii bado wanamtetea angalau kwa maneno tu? CCM ina watu wasio na msimamo kabisa!
Si kwamba kuwa Kikwete hana mambo mema alipokuwa Rais. Kwa mfano aliachilia watu wafanye walichoona kinafaa mradi hawavunji sheria, aliendesha siasa za uchangamano, alijenga haiba ya ushirika kitaifa na kimataifa. Bila shaka kwa haya wapo pia wanaomkumbuka!!
Lakini wapinzani waseme nini wakati wao wapo wachache? Kila mwaka ni watanzania husikika wakisema wapinzani hawajakomaa kushika nchi, cha ajabu hao waliokomaa ndiyo hao kila siku wanatutengeneza uoza unaolenda harufu ya uvundo wa ufisadi kwenye jamii yetu. Inawezekana CCM imekomaa kwenye kufanya ufisadi na vitisho kiasi kwamba wananchi wanaiogopa?
Pamoja na hoja zako ambazo ni negative na positive bado huwezi kumuita Kiongozi wa Serikali, Mkuu wa Nchi,Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama kuwa ni Dhaifu.Kama Rais John Magufuli anasifiwa kwa kuchukua maamuzi ambayo watangulizi wake walishindwa kuchukua na pia anasifiwa kwa kufanya yale ambayo watangulizi wake walishindwa kufanya. NI kwa nini basi kina John Mnyika walipokuwa wanasema Kikwete ni dhaifu kwa kushindwa kuchukua hatua kwa uharibifu uliofanywa na Mtangulizi wake Mkapa walishutumiwa?
Kwa haya yanayofanywa na Magufuli kama vile kufukuza wafanyakazi hewa, kutaka kubadili mikataba ya madini, kufuta safari za nje, na mengine mengi si dalili kwamba mtangulizi wake alilea mambo yasiyofaa kwa nchi yetu? Wale waliokuwa wanamtetea Kikwete kwamba si dhaifu leo hii bado wanamtetea angalau kwa maneno tu? CCM ina watu wasio na msimamo kabisa!
Si kwamba kuwa Kikwete hana mambo mema alipokuwa Rais. Kwa mfano aliachilia watu wafanye walichoona kinafaa mradi hawavunji sheria, aliendesha siasa za uchangamano, alijenga haiba ya ushirika kitaifa na kimataifa. Bila shaka kwa haya wapo pia wanaomkumbuka!!
Je ulitaka aitweje??????Pamoja na hoja zako ambazo ni negative na positive bado huwezi kumuita Kiongozi wa Serikali, Mkuu wa Nchi,Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama kuwa ni Dhaifu.
Kuzibwa mdomo ni unafikiMakada wa CCM maarufu wamekiri hadharani kwamba waliona udhaifu huu lakini walishindwa kuuongelea.Mmoja alisema wazi, "tungeanzia wapi,"kwa maana walikuwa wamezibwa midomo kwa kuwa jambo hili lilikuwa la wakubwa.Kiukweli tumeibomoa CCM kwa mikono yetu wenyewe.
Ni kweli!Kuzibwa mdomo ni unafiki
Huyo ni Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utabaki hivyo tu.Je ulitaka aitweje??????
Kuitwa kiongozi wa nchi dhaifu ni mtazamo tu, kwa nini iwe nongwa!Pamoja na hoja zako ambazo ni negative na positive bado huwezi kumuita Kiongozi wa Serikali, Mkuu wa Nchi,Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama kuwa ni Dhaifu.
Umeeleweka.Kutiwa kiongozi wa nchi dhaifu ni mtazamo tu, kwa nini iwe nongwa!