Kwanini mkurugenzi huyu anaangukia ktk chaguzi ndogo na maeneo korofi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini mkurugenzi huyu anaangukia ktk chaguzi ndogo na maeneo korofi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DALLAI LAMA, Feb 6, 2012.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mficha uchi hazai,wanajamvi naona niliweke wazi hili. MKURUGENZI WA WILAYA YA MERU BW.TRASIAS KAGENZI ALIWAHI KUWA MKURUGENZI WA TARIME NA AKASIMAMIA UCHAGUZI MDOGO KULE MWAKA 2008 baada ya kifo cha chacha wangwe.NAJIULIZA ,je kwa nini anapangiwa maeneo korofi exmple...tarime,meru,Kesho akihamishiwa.....JAMAA ANA UZOEFU NA CHAGUZI NDOGO?
   
 2. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  anaonekana,naye,ana,asili,ya,ukorofi!!
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Anakipaji cha kukabiliana na wakorofi tena wanaoonewa
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Iko Kenya hii.
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  huyu mkurugenzi ni mtu mpole sana huwezi amini.
   
 6. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Rekebisha hoja yako Tanzania hakuna Wilaya ya Meru,kama hujui uliza.
   
 7. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hiyo Wilaya amepewa lini ???
   
 8. m

  mpunumpunyenye Senior Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  msimlaumu muulizeni kabila lake kwanza !!!!
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa magumash kweli,anajifanya kujua mambo wakati hata tanzania yenyewe haijui.eti wilaya ya meru.
   
Loading...