gwang taek
Member
- May 5, 2014
- 76
- 123
Rekebisha uandishi wako mkuu kwa kuandika Kisarawe, Mkurangakisalawe,mkulanga
Kumbe unajua nilichokimaanisha AsanteKisalawe
Kisarawe
duh! KumbePwani ni Dar na Dar ni pwani. Hakuna tofauti.
Hauna pisi kali. Wajiongeze wajenge vyuo vikuu vya kutosha uone kama hawatapata fursa hiyo.
NB:
Ili kupata Manispaa ni lazima Pwani iwe Jiji kwanza, na ili kupewa hadhi ya kuwa Jiji ni lazima ufikie level flani ya Maendeleo ya kiuchumi, idadi ya watu n.k.
Umetoa bonge la boko
pumbaShida Joketi haja jifungua Bado
Kabila langu linaamini ktk 'L'Rekebisha uandishi wako mkuu kwa kuandika Kisarawe, Mkuranga
FactDar es salaam a k a Mzizima ndio makao makuu ya Mkoa wa Pwani.
Toka kale mpaka Sasa.
Kilichofanyika ni kuchukua eneo dogo na kuliita mji/ Jiji halafu kwingine Pwani.
Ila kote ni eneo Moja.
Cha mwisho wilaya za Pwani zote zimeunganishwa na dar es salaam hivyo ni ngumu haya maeneo kujua kwa kasi iliyokusudiwa.
Ila kwa Sasa dar eneo kubwa limejaa ukiitoa kigamboni ndio maana unaona Pwani inajengeka kwa kasi
Mkuu huko shule ulienda kusomea ujinga au....CIVICS ya form two inakushinda😅😅Ili kupata Manispaa ni lazima Pwani iwe Jiji kwanza, na ili kupewa hadhi ya kuwa Jiji ni lazima ufikie level flani ya Maendeleo ya kiuchumi, idadi ya watu n.k.
Basi itakuwa ulikuwa unatoroka somo la kiswahili shuleni.Kabila langu linaamini ktk 'L'
Mnakera sana ,hamjui wapi R wapi L nyie hata shule mlikua vilazaKumbe unajua nilichokimaanisha Asante
Dar es salaam a k a Mzizima ndio makao makuu ya Mkoa wa Pwani.
Toka kale mpaka Sasa.
Kilichofanyika ni kuchukua eneo dogo na kuliita mji/ Jiji halafu kwingine Pwani.
Ila kote ni eneo Moja.
Cha mwisho wilaya za Pwani zote zimeunganishwa na dar es salaam hivyo ni ngumu haya maeneo kujua kwa kasi iliyokusudiwa.
Ila kwa Sasa dar eneo kubwa limejaa ukiitoa kigamboni ndio maana unaona Pwani inajengeka kwa kasi
Haya ndio majibu sahihi toka Kwa watu wanaoifahamu Pwani na Dar. Nje ya majibu haya basi fahamu huyo mtu ni mgeni wa Dar na Pwani.Pwani ni Dar na Dar ni pwani. Hakuna tofauti.
Hao ndio wa KWANZA miji yao kuwa halmashauri,manispaa na Jiji kabla mikoa mengine haijafikia level hizo.je shida ni Uzaramu, Ukwere na undengereko?
😁Watu wamlandizi akikwambia naenda mjini ujue ni Dar nawatu wa ipogolo iringa wakikwambia naenda mjini ujue ni mashine tatu hivyo hivyo watu wa chimala mbeya wakikwambia naenda mjini ujue kuanzia uyole kwaiyo ndugu pwani ni Dar naukitaka kujua kuwa pwani ni Dar panda basi kutoka mikoani alafu mwambie nashukia mlandizi uone kaa utakatwa nauli ya pwani yani watakata tiketi ya Dar