Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,955
Jiulize kwanza swali hili; alisema hayo maneno akiwa wapi na kwa sababu zipi? Kama aliyasema hayo maneno kuwajibu waliosema wanataka kukomboa Nchi ambayo ilishakombolewa years ago then he was right. Maana waliokuwa wanazungumzia ukombozi ni watu na Elimu zao tena na exposure kubwa. Kama wewe ni msomi na usifahamu kuwa nchi ilishakombolewa 1961 basi ni mpumbavu kweli. Maana umesoma na kusoma na kila kitu kiko wazi lakini usigundue kama tulipata uhuru mwaka 1961. Ni Upumbavu kweli.Habari wadau!
Nashindwa kuelewa kwa mara ya pili lro Mkapa kasema kuwa Watanzania ni Wapumbavu kwa kuweza kujenga nyumba za watumishi wa sekta ya afya na kuongezeka kwa takwimu za afya kadai UPUMBAVU WETU UTAPUNGUA.
Sijajua watanzania tuko wapumbavu kwenye lipi?
Je ni kweli kauli ya Kenyata baba ya watanzania tuko kama Maiti hata tukiamshwa hatuwezi amka?
Maana ya neno Pumbavu yaani hata uelimishwe vipi huwezi kubadilika hata kwa dawa ila mjinga ni kwamba hujui ila ukielekezwa au kufahamishwa ujinga unakutoka ila upumbavu hautoki kabisa.
Sasa labda wanaojua sie ni wapumbavu wa kitu gani au sie ni maiti.
Ni kikundi cha watu wachache sana ndani ya SMT.Ukawa ni raia wa nchi gani
Habari wadau!
Nashindwa kuelewa kwa mara ya pili lro Mkapa kasema kuwa Watanzania ni Wapumbavu kwa kuweza kujenga nyumba za watumishi wa sekta ya afya na kuongezeka kwa takwimu za afya kadai UPUMBAVU WETU UTAPUNGUA.
Sijajua watanzania tuko wapumbavu kwenye lipi?
Je ni kweli kauli ya Kenyata baba ya watanzania tuko kama Maiti hata tukiamshwa hatuwezi amka?
Maana ya neno Pumbavu yaani hata uelimishwe vipi huwezi kubadilika hata kwa dawa ila mjinga ni kwamba hujui ila ukielekezwa au kufahamishwa ujinga unakutoka ila upumbavu hautoki kabisa.
Sasa labda wanaojua sie ni wapumbavu wa kitu gani au sie ni maiti.
Mtoto wa kwa Mkapa aliyeenda kumuamsha.mkuu nani alikupenyezeaa hiyo?
kumbe usalama waoga hivyo?Mtoto wa kwa Mkapa aliyeenda kumuamsha.
Watu wa Usalama na walinzi wote walikuwa wanagwaya kuingia chumbani kwake.
Mtoto wake ndiye aliyeingia na kumkuta mshua ka flat.
Ikabidi amuamshe haraka haraka safari ya kwenda airport kumfuata Mwinyi ianze, kwa kuvunja itifaki. Maana rais anatakiwa kuwa mtu wa mwisho. Kila mtu amngojee rais. Lakini Mkapa kwa ulevi wake alimfanya Mwinyi amgojee yeye Mkapa airport.
Leo huyu mlevi mbwa ndiye anakuja kututukana Watanzania wapumbavu kwa sababu tumenpa heshima ya kuwa rais?
Kuingia chumbani kwa mshua si kitu rahisi hivyo.kumbe usalama waoga hivyo?
Ndio maaana Magu anajeuri ya kuongea chochotee
Viongozi wa Tanzania wanaendeleza kauli za ajabu ajabu zinazopingana pingana kiasi kwamba hata kuwafuatilia vigumu.Juzi tu hapa Bwana Mkubwa alisema kuna watu wameuza viwanda na mashirika kwa jina la ubinafsishaji wenye kuleta tija...twaaaafaaaaaah!
Ukawa!!! Inawahusu hii sio mimi hata....mm mtanzania mwerevu na mjanja niko ccm
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Ukawa!!! Inawahusu hii sio mimi hata....mm mtanzania mwerevu na mjanja niko ccm
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app