Speed ya internet:
1.Type of modem used
2.Location kama uko mbali na mnara obvious utakuwa unapata net ya kobe
3.No of user kama users mkiwa wengi mnagombania tunnel lazima mtanyang'anyana bandwidth
4.kufanya mambo lukuki at per,fanya mambo mawili au ma3 sio umefungua window kumi zote zina download pages
5.check computer yako baadh ya ant virus zinaslow internet speed
Mleta mada swali la kwanza kabisa anatakiwa aeleze yuko sehemu gani, then anatumia device gani LAKINI KWANZA YUKO WAPI maana hata sijui kama anajua kucheck kwamba anapata 2G au 3G