Kwanini Misri(Egypt) hawashiriki mashindano ya CHAN?

Kwanini Misri(Egypt) hawashiriki mashindano ya CHAN?

Wanapelekaga timu dhaifu inaondolewa na kwa taarifa ni kwamba hawajawahi kuqualify
So waliondolewa
 
Hata South Africa wenyewe wameleta kikosi cha tatu na kwao ligi inaendelea kama kawaida. Ni mashindano ya hovyo tu na hayana maana yoyote. Ingebaki hiyo hiyo AFCON na CAF Clubs Competitions (CL&CC). Yanaharibu tu calendar ya Ligi. Yatakosa tu maana kama ilivyokua CECAFA Kagame Cup.
 
Back
Top Bottom