Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,802
Mashindano ya Chan ambayo ni mashindano yanayohusisha wachezaji wnaocheza ligi za ndani kwa nchi za Africa
Kwa nchi za Africa Misri ndio nchi yenye ligi yenye ubora kwa miaka mingi
Lakini cha ajabu hawashiriki mashindano haya, ambayo wangefanya vizuri sana kama wangeshiriki kutokana na ubora wa ligi yao
Je wameona mashindano haya sio ya kiwango chao na ni kupoteza muda kushindana?