Umeeleweka kabisaChato ni kijijini kwa Rais wetu mpendwa na Dodoma ni kwa Speaker Ndugai mtaalam wa kutumia rungu kupata anachotaka vilevile kuna unholy alliance between them. Wanaongoza mihimili.
Unajijua vigezo vya kuwa jiji?Ni kwasababu Dodoma ni jiji kuu.
Kuhusu Chato hata sijui,ila ningependa hata jiji kuu liwe Chato
Heheheb kazi ipoYatasubiri mpaka 2020 tukipata Rais toka Peramiho
Kwanini iwe Chato?kwanini isiwe bagamoyo ambapo tayar Kuna vivutio vingiKuna miradi mikubwa sana iko kwenye process nationwide, siyo vibaya naye kuendeleza alipotoka ila hili la uwanja mkubwa wa mpira ninalipinga, bora apeleke viwanda, au ajenge hata chuo kikuu kikubwa mji uongezeke watu, shughuli za kiuchumi ziongezeka
Mkuu trust me unashida sanaWatu wa kaskazini kinachowatesa ni ukanda na ukabila
hehehehehehSingida na Kilimanjaro
O
Hiyo miradi uliyoitaja haiko sehemu moja iko miji mbalimbali, hoja hapa kwanini miradi mingi inaelekezwa sehemu moja tu ya Chato?Barabara ya Namanga Arusha iko Chato?
Ule mradi mkubwa kabisa wa Maji kule Arusha nao uko Chato?
Upanuzi wa bandari Mtwara, Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mtwara vyote viko Chato
Uwanja wa mpira Kwa Majaliwa kule,
Barabara ya Katavi Tabora
SGR
Stiglers
Ubungo
Mfugale
Salender bridge
Muwe mnafichaga na Ujinga wenu wakati mwingine
By the way, Chato siyo Burundi wala Congo, so hata kila kitu kikiwekwa huko bado ni Tanzania
Pumbavu kabisa
Hiyo miradi mikubwa ndio ipi, acheni unafiki na roho mbaya. Yaani saivi hata ikijengwa hospitali ya wilaya Chato ni kosa wakati hapo hapo serikali inajenga zaidi ya hospitali 60 za wilaya nchi nzima. Basi bajeti nzima itapelekwa Moshi mfurahie mmejaa ukabila na ubaguzi.
Barabara ya Namanga Arusha iko Chato?
Ule mradi mkubwa kabisa wa Maji kule Arusha nao uko Chato?
Upanuzi wa bandari Mtwara, Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mtwara vyote viko Chato
Uwanja wa mpira Kwa Majaliwa kule,
Barabara ya Katavi Tabora
SGR
Stiglers
Ubungo
Mfugale
Salender bridge
Muwe mnafichaga na Ujinga wenu wakati mwingine
By the way, Chato siyo Burundi wala Congo, so hata kila kitu kikiwekwa huko bado ni Tanzania
Pumbavu kabisa
Kuna ujenzi wa Barabara toka Njia panda ipinda hadi Matema huko kyela, sijui nako ni chato. Mwaka juzi nimepita Barabara ya Babati kondoa Hadi Dodoma kuna ujenzi unaendelea sijui nako ni chato.
Watu wa kaskazini kinachowatesa ni ukanda na ukabila
Yaani wakimaliza uwanja wa mpira tunajenga chuo kikuu Rukwa tuendelee kuheshimiana maofisini na mtandaoni.Kwetu Rukwa,mkoa maskini zaidi Tanzania mtukumbuke na sisi.
Mkuu unatumia nguvu sana piga fanta upooze koo.Wakati Mzee Mwinyi anajenga Uwanja wa Ali Hasaan Mwinyi pale Tabora kila mtu alikuwa hamuelewi. Lakini mpaka leo upo kwani nani ameteseka?
Ajenge tu hata chato tena mkubwa wa kuingiza watu 100,000 kabisa.
Kwani mpira mnacheza nyie tu bana. Nani ajuaye kama kesho hakutakuwa na timu ya ligi kuu toka Chato?
Jamaa povu utafikiri linafaidika chochote mamiradi ya ujenzi yakirundikwa chato ,yaani ili kukomeshea mimi naona ahamishie ikulu na bunge vihamie chato .Mtaongea sana tena sana, na bado, ndio kwanza tumeanza.
Yote hii kwa pamoja inalinganishwa na miradi ya kawilaya kamoja ka Chattle. Wilaya vs Nchi... pathetic!Barabara ya Namanga Arusha iko Chato?
Ule mradi mkubwa kabisa wa Maji kule Arusha nao uko Chato?
Upanuzi wa bandari Mtwara, Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mtwara vyote viko Chato
Uwanja wa mpira Kwa Majaliwa kule,
Barabara ya Katavi Tabora
SGR
Stiglers
Ubungo
Mfugale
Salender bridge
Muwe mnafichaga na Ujinga wenu wakati mwingine
By the way, Chato siyo Burundi wala Congo, so hata kila kitu kikiwekwa huko bado ni Tanzania
Pumbavu kabisa
sisi wa singida ndio tumesahaulika kabisa. Ni kama lesotho ndani ya SA. hata wabunge wetu wanashambuliwa na watu wasiojulikana. Waliokuwa wateuliwa wote wamefyekelewa mbali. Singida ni yatima mno awamu hii kuliko sehemu yeyote ya nchi hii.
Barabara ya Namanga ipi au unakaririshwa. Hii barabara iliisha hata kabla Magufuli hajaota kuwa Rais, Mradi wa maji ulianza muda mrefu usingesimama kisa Magufuli kaingia