Kwanini mimi sipati wangu...!

Poole mkuu ila wasukuma wengi huwa ni madomo zegge so jitahid kumkabili mwanamke kiume zaid na utafanikiwa,sema uwetayari kuumizwa maana ndo kamchezo ka madem waleo
 
Poole mkuu ila wasukuma wengi huwa ni madomo zegge so jitahid kumkabili mwanamke kiume zaid na utafanikiwa,sema uwetayari kuumizwa na kufuta mawazo mgando yakupata dem wapeke yako QUOTE=Man Ngosha;9797492]28 sasa![/QUOTE]
 
Usiwe umeandika thread hii kwakutegemea kumpata gash wa humu jf ndo awe mkeo,utalizwa sanaaa humu wengi magwiji wa mji we komaa kimpango wako na utampata umtake.
kweli mi msukuma , nataman sana nimpate wangu
 
Pole kwa yote but usisahau kujipa moyo kwa hili; MUNGU yu bize sana ... kwa sasa pengine anashughulika kwanza na wagonjwa, watoto wa mitaani, wasio na ajira, watumwa, yatima, masikini na amani! Vilio vya Somalia, Iraq na Syria pengine vimemfanya aamue kuanzia huko kwanza kuliko kwako uliye na afya njema, elimu, amani, maendeleo, ndugu, jamaa na marafiki ... huoni kama amekuwa akikupendelea siku zote?!

Kikubwa, endelea kutulia kwenye foleni (usiyumbe-yumbe), usijitegemee mwenyewe wala mwanadamu na zidi kumpigia kelele nyingi za maombi coz 'mtoto anayelia sana, huwa ndio huanza kupewa nyonyo'
 
Kweli tunatofautiana. Wengine wanatamani, kutoka, mwingine anang'ang'ania.
 
Ila jaman naipenda sana jf ni jamvi gani linaweza kushaur watu namna hi unajua mtu anaweza kuomba ushaur 1 lakini majibu tunayapata weng hvyo yanatusaidia sana akina ngosha kweli tupo wengi hvo ushaur kama huo unatufaa pia.
 
Kule kwetu nyanda za juu kusini mdesi maana yake mwongo....huwa napata kigugumizi kusoma post zako maana huwa nahisi ni za uongo lol...
mi si wahuko, hujui maana za maneno zinatofautiana? kwn wote humu jf ni huko?
 

ong'wise hale yeneyo? kashi hiiiii ole higolya sana
 
Penda kujichanganya bila hvyo usubiri tu km nabii musa miaka ifke km 90 hvi..
 
Msukuma hata ame vipi akae wapi..still anabaki na elements flani hivi za...kilooser...point ya msingi ndugu ukimwona manzi au ukiwa unaonana nae...usiwe sirias...fanya kama utani utani vunga mim ndo nimeshazima bidada unanisaidiaje....etc etc...unashangaaa bidada huyoooo anatiririka tuuu,,,yan....daaahh...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…