Kwanini mikutano ya CCM mingi inakosa vijana

Kwanini mikutano ya CCM mingi inakosa vijana

View attachment 155359
Nimejaribu kupitia picha nyingi za mikutano ya CCM sikufanikiwa kuwaona hao wazee tupu anaowasema mleta mada, CCM inapendwa na watu wa rika zote. Vijana unaowataja kuwa hawahudhurii mikutano ya CCM ni wale wahuni wasiojitambua. ambao huku hawana nafasi.


hii picha ni kipindi kile kikwete aliitwa chaguo la mungu kuna ndugu yangu marehmu nimemuona hapo mungu amlaze mahala pema peponi! :embarassed2:
 
Back
Top Bottom