mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
WAUNGWANA, katika ziara za kichama za chama cha mapinduzi mikutano mingi tunayofanya tumekuwa tunapata changamoto kubwa ya kukosekana kwa vijana kwenye mikutano yetu kwa mfano mdogo kuna ziara moja ya ccm tulikwenda edaru,tuliambulia wazee tu kwa asilimia kubwa nikasema labda kijijini,wakati mwingine tukawa na mkutano arumeru mashariki na magharibi kote huko tuliambulia WAZEE kwa asilimia kubwa hapa nikastuka nikasema nani ametuloga ccm mbona chadema mikutano yao mingi asilimi tisini ni vijana na wanajaa sana,je hawa vijana wanapewa nini huko kwenye mikutano ya cdm kama ni t-shirt,kanga na kofia tunawapa kama cdm wanavyotoa tena sisi ccm tunawapa pesa upande wa cdm wanachukua sadaka kwao.tatizo ni nini vijana ccm imewakosea nini hamuhudhurii mikutano ya ccm.niambieni