Ufaulu ni mdogo, na kama ufaulu ni mdogo ina maana hata uelewa ni ndogo.
Sawa pamoja na hayo lakini mtazamo wangu ni kuwa mazingira ya vijiji vingi hayawavutii walimu kuishi na kufanya kazi, hivyo kufanya wanafunzi kutofaulu vizuri, lakini pia uchache wa shule ambalo lina associate na serikali kwa ujumla.
wao wenyewe uTendaji kazi wao ukoje? Je,watu wa kusini ni CHAPAKAZI?
Sasa kama unaelewa hivyo, unashindwa nini kuelewa maelezo ya KYENJU?Sawa pamoja na hayo lakini mtazamo wangu ni kuwa mazingira ya vijiji vingi hayawavutii walimu kuishi na kufanya kazi, hivyo kufanya wanafunzi kutofaulu vizuri, lakini pia uchache wa shule ambalo lina associate na serikali kwa ujumla.
hivi vipi hali ya umaskini nchini libya ambapo wengi wao sio waislamKuna ******* wengi! Hao huwezi tenganisha na umasikini
Yes, hali iko hivyo. Sio Uturuki tu hata Somalia, Afghanistan, Palestine, etc.kwa hiyo hali iko hivyo hivyo hata nchini uturuki kwa kuwa zaidi ya asilimia 90 ni waislam?
Yes, hali iko hivyo. Sio Uturuki tu hata Somalia, Afghanistan, Palestine, etc.
Nimefuka wapi?jipange mzazi umefuka hapa
Nimefuka wapi?
How about Somalia, Afghanistan, Palestine, etc ? Kihistoria, Uturuki lilikuwa taifa la Kikristo na lilikuwa na nguvu sana kiuchumi, kisiasa na kijeshi. Limeporomoka baada ya kuuacha Ukristo. Ni laana inawatafuna.haiko hivyo uturuki mkuu
How about Somalia, Afghanistan, Palestine, etc ? Kihistoria, Uturuki lilikuwa taifa la Kikristo na lilikuwa na nguvu sana kiuchumi, kisiasa na kijeshi. Limeporomoka baada ya kuuacha Ukristo. Ni laana inawatafuna.
Mkuu hali ya sehemu moja kuwa na maendeleo na sehemu nyingine kukosa huwa inachangiwa na vitu vingi sana kama kwenu Singida asilimia kubwa ya Wasichana na Wanawake zenu ni wauza Baa yaani Ma Barmaid na Madada poa hivi hii nayo inachangiwa na nini? Yaani usiangalie kwa mwenzio kabla kwako haujaangalia maana dada zako wamejaa Dodoma,Arusha, Manyara na Dar ndo usiseme kazi kuuza Miili tu je hiyo nayo siyo laana ya jamaa zako maana haibadiriki toka enzi hizo!How about Somalia, Afghanistan, Palestine, etc ? Kihistoria, Uturuki lilikuwa taifa la Kikristo na lilikuwa na nguvu sana kiuchumi, kisiasa na kijeshi. Limeporomoka baada ya kuuacha Ukristo. Ni laana inawatafuna.
Mkuu hali ya sehemu moja kuwa na maendeleo na sehemu nyingine kukosa huwa inachangiwa na vitu vingi sana kama kwenu Singida asilimia kubwa ya Wasichana na Wanawake zenu ni wauza Baa yaani Ma Barmaid na Madada poa hivi hii nayo inachangiwa na nini? Yaani usiangalie kwa mwenzio kabla kwako haujaangalia maana dada zako wamejaa Dodoma,Arusha, Manyara na Dar ndo usiseme kazi kuuza Miili tu je hiyo nayo siyo laana ya jamaa zako maana haibadiriki toka enzi hizo!
umefanya utafiti au unaropoka tu kwa kuwa una uhuru wa kutoa maoni?unailinganisha je kiuchumi nchi kama uturuki na somalia? Au emotions!yes, hali iko hivyo. Sio uturuki tu hata somalia, afghanistan, palestine, etc.
How about Somalia, Afghanistan, Palestine, etc ? Kihistoria, Uturuki lilikuwa taifa la Kikristo na lilikuwa na nguvu sana kiuchumi, kisiasa na kijeshi. Limeporomoka baada ya kuuacha Ukristo. Ni laana inawatafuna.