mnyisanzu nakwambia wewe ili wengine pia wajifunze kutoka kwako,. hivi hizi kauli za watu juu aya imani huwa mtaoa wapi maana kila mtu anatafasiri kivyate kutokana uwezo wake na maranyingine mazingira na misamiati ya lugha husika hivyo uwe muisla au kristo huna ushahidi wakutoa wa dini zaidi ya kufuata alichokurithisha baba na mamoko kwavile tu umezaliwa ktk hiyo familia ambayo nayo ilimezeshwa either na sheikh au mtumishi(pastor) na hakuna mtu mabae alikufa kisha akarudi na ushahidi kuwa dini fulani ndio sahihi zaidi kuliko nyingine, hapa mwache hadithi zenu ooh alifufua watu, haya wako wapi? hao waliofufuka na kwani hawakuwa nakizazi kujue ukoo wao watupe ushahidi hivyo basi ni vema kuamini unachoona sahihi kwako nausilazimishe mwingine kuwa na wewe hati ya huu mtihani au fumbo hii tutaona huko ambako vitabu vinsema na kama wewe aou mwenzio yeyote anadai anajua muulize alijuaje kama hajafundishwa kupitia vitabu km msahafu, na bible tuache kuwa na picture kubwa kichwani km wanafunzi wanakaribia kugraduate huona watakuwa na mavyeo na kazi zitapatika kwakuwa wao niwasomi, sasa nyienyie huwa mkifanya jambo mnaanza ooh shetani alinipitia je unamjua shetani na apointment uliweka saa ngapi yani mtu hisia zako tu zinakushinda leo unajitia kujua sana dini, maana kwamimi naamini kuwa hakuana asiyena dina kama mtu kusema hana baba sikweli lazimka babako yupo mimba sio chumvi ukanunua tu dukani uweke tumboni, Kila mtu ana dini yake kwani maana halisi kilugha Dini nimfumo kamili wa maisha je nani hanamfumo wamaisha kwahiyo hiyo ndio itakuwa dini yako, maana dini inaelekeza ufanyenini na uachekipi na tena kama ilivyo katiba au sheria na kukupa vitisho ukifanya kibaya basi utaadhibiwa kwahiyo tuache uanafiki wakujifanya tunajua sana na kuwa niwasafi sana kwauwa tu ni unaamini dini fulani kumbe sichochote ni kuogopa adhabu hapo siku ya mwisho, nakwakuwa unaamini kuna siku ya mwisho nahautakuwa njia ya kupata nafasi ya kurekebisha masoka yako ndio unaona heri uoneshe uoga wako sio kama wewe kweli unaimani saaan, tuache mbwembwe, nwasili kwa leo.