Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,140
- 28,287
MAMBO MENGI YAMETIMIZWA NA UONGOZI WA AWAMU YA SITA, YAMEBAKI MACHACHE MACHACHE NAYO VERY SOON YATAMALIZWA,HIVYO MADAI SI MENGI TENA, NA AJIRA NDIYO HIZO ZA MSEREREKO 21,200.
Acha Ungumbaru wewe, lipi la maana limetimizwa? Ongezeko la mshahara la 3500/=?MAMBO MENGI YAMETIMIZWA NA UONGOZI WA AWAMU YA SITA, YAMEBAKI MACHACHE MACHACHE NAYO VERY SOON YATAMALIZWA,HIVYO MADAI SI MENGI TENA, NA AJIRA NDIYO HIZO ZA MSEREREKO 21,200.
Blinded!Acha Ungumbaru wewe, lipi la maana limetimizwa? Ongezeko la mshahara la 3500/=?
Mbona serikali yako hailipi madeni ya watumishi wake?
Ajira yenyewe bado za michongo
Ya kweli haya uyasemayo, mbona maneno yako yamekaa kama ya mlamba asali kutoka Ofisi flani.MAMBO MENGI YAMETIMIZWA NA UONGOZI WA AWAMU YA SITA, YAMEBAKI MACHACHE MACHACHE NAYO VERY SOON YATAMALIZWA,HIVYO MADAI SI MENGI TENA, NA AJIRA NDIYO HIZO ZA MSEREREKO 21,200.
Mkuu sio tamisemi TU.Wameshituka Mei Mosi hazina msaada kwao....miaka nenda rudi mishahara ni kiduchu
Watumishi wenye degree TAMISEMI wanalipwa 765,000 wakati mbunge anayejua kusoma na kuandika kwa mwezi ankunja zaidi ya 12,000,000