D davis sabayo Member Joined Jul 29, 2014 Posts 20 Reaction score 2 Aug 7, 2014 #1 Minaona mchakato wa katiba hauta tengamaa kutokana siasa kushamili katika bunge la katiba
Bobwe1 JF-Expert Member Joined Apr 8, 2014 Posts 396 Reaction score 95 Aug 7, 2014 #2 Tatizo ccm wanaamini ilani yao ya chama ndio inayofaa kutungia katiba si maoni ya wananchi ndio ukaona sarakasi zote hizo
Tatizo ccm wanaamini ilani yao ya chama ndio inayofaa kutungia katiba si maoni ya wananchi ndio ukaona sarakasi zote hizo