goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,049
- 1,344
Vp kuhusu saluni, hasa hizi za huku mtaani kwetu kwa mahohehahe ambako ni bandika bandua mashine hazisafishwi wala kuwekewa dawa! Ina maana hizo mashine nazo hazina receptor au....?Haiwezekan kwa sababu mbu hana receptor kwa ajili ya replication ya Virus,hivyo Basi wakiingia ndani ya mbu humegengwa kama chakula kingine ,
Kwa nn saluni tunaambukizana mapunye na magonjwa mengine lakini si VVU? Au hizo mashine zina receptor maalum ya kuwauwa vvu mara tu wagusapo mashine ila si kwa magonjwa mengine.!!MBU jike hunyonya damu ya binadamu na wanyama wengine lengo lao ikiwa ni Kutumia damu kuzalisha mayai lakini Pia inawezekana damu ile ikawa na Infectiom zingine but why huambukiza tu Malaria??? Sababu mbu anapokung'ata pale ndipo husababisha wale vimelea aliowabeba kupitia mdomo wake kuingia kwenye Damu yako lakini HAWEZI KUITEMA ILE DAMU ALIIYOIBEBA NA KUIINGIZA KWENYE MWILI WAKO.
Mzee baba nikajua uko vyema sector IleMBU jike hunyonya damu ya binadamu na wanyama wengine lengo lao ikiwa ni Kutumia damu kuzalisha mayai lakini Pia inawezekana damu ile ikawa na Infectiom zingine but why huambukiza tu Malaria??? Sababu mbu anapokung'ata pale ndipo husababisha wale vimelea aliowabeba kupitia mdomo wake kuingia kwenye Damu yako lakini HAWEZI KUITEMA ILE DAMU ALIIYOIBEBA NA KUIINGIZA KWENYE MWILI WAKO.
Lol you gotta be kidding, nenda peku ukipata ukimwi utajua kama ni myth au laDah haya mambo bana..ndo tujiulize kwanini tanzania hamna corona kenya ipo
HIV imeletwa watu wafanye biashara ya condom
HIV is the myth
Haa ha ha...tupo kote mzeeeMzee baba nikajua uko vyema sector Ile
Kumbe na Huku[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa nn saluni tunaambukizana mapunye na magonjwa mengine lakini si VVU? Au hizo mashine zina receptor maalum ya kuwauwa vvu mara tu wagusapo mashine ila si kwa magonjwa mengine.!!
KIWEMBE kinabeba ukimwi.Haiwezekan kwa sababu mbu hana receptor kwa ajili ya replication ya Virus,hivyo Basi wakiingia ndani ya mbu humegengwa kama chakula kingine ,
we itakuwa kinyozi haya tujuze wateja wako wanaponajehuu uzi ume vamiwa na 'ma bush doctors' , msifanye masihara au mchezo wowote na UKIMWI,
Zipo sababu kadhaa :
1. Vimelea vya malaria ( Plasmodium ) vinapitia mabadiliko ya kimaumbile ndani ya mwili wa mbu kabla ya kuwa tayari kumwambukiza mtu mwingine, hii huchukua siku kadhaa kitu ambacho haiwezekani kwa VVU.
2. VVU haviwezi kuishi ndani ya mwili wa mbu hii ni kwa sababu mbu anapomaliza kunyonya damu ni lazima asafishe ile mirija yake (proboscis), la sivyo itaziba na atashindwa kula na hatimae kufa
Haiwezekan kwa sababu mbu hana receptor kwa ajili ya replication ya Virus,hivyo Basi wakiingia ndani ya mbu humegengwa kama chakula kingine ,
Mabaharia [emoji23]Hatupimi mpaka tuanze kukonda
KIWEMBE kinabeba ukimwi.
Kiwembe kina receptors za replication ya virusi?
Alishusha nondo za maana wapi tulimwambia achague mambo mawili tumtafutie pisi kali ambazo tunajua kabisa zina HIV na azitumii dawa achague mmoja apige kavu au ajichagulie yeye mwenyewe pisi yenye HIV sisi tutafanya kujilizisha je huyu mtu aliyetuletea ana HIV na yeye hana harafu wapumzike naye.Humu Jf zimeshawahi kushushwa nondo za maana kuhusu VVU na jamaa anayeitwa deception.
VVU ni myth tu, ni kirusi kinachosadikika ila hakijawahi kuonekana popote pale.
Wewe unashangaa kwa Mbu tu? Huko saluni za kiume ndo balaa lakini bado tunadunda.
[emoji3][emoji3][emoji3]Mabaharia [emoji23]
Nimetoka kusoma uzi muda si mrefu jamaa juzi kaomba ushaur ndug yake anaumwa ukimwi leo hii kafariki...afu mnasema myth tu...nenda kakamuane na mtu mwenye ukimwi afu utuletee mrejesho.Humu Jf zimeshawahi kushushwa nondo za maana kuhusu VVU na jamaa anayeitwa deception.
VVU ni myth tu, ni kirusi kinachosadikika ila hakijawahi kuonekana popote pale.
Wewe unashangaa kwa Mbu tu? Huko saluni za kiume ndo balaa lakini bado tunadunda.
Acha woga watembezee rungu warembo...HIV ni hadithi tu.Nimetoka kusoma uzi muda si mrefu jamaa juzi kaomba ushaur ndug yake anaumwa ukimwi leo hii kafariki...afu mnasema myth tu...nenda kakamuane na mtu mwenye ukimwi afu utuletee mrejesho.