To be honest the guy is ver brilliant,
Akiong'oa ccm atapewa tu!
nimekuwa najiuliza mara kwa mara kwa nini huyu kiongozi shupavu na mwenye misimamo imara hapewi digrii ya heshima kama mtu aliyeleta mchango mkubwa wa mapinduzi ya kisiasa hapa nchi?inaama hakuna chuo hata kimoja kilichoweza kutambua mchango wa huyu deep thinker more than many profs are? even though i'm not a prof i want to declare my interest that hon Freeman Mbowe i honor you a doctarate for change and from now you are going to be named as Dr Freeman Mbowe.karibu nawe umtunuku mh Mbowe

Mkuu huyu jamaa atatunikiwa na si muda mrefu. Huyu jamaa kwa baadhi yamambo ni KICHWA.nimekuwa najiuliza mara kwa mara kwa nini huyu kiongozi shupavu na mwenye misimamo imara hapewi digrii ya heshima kama mtu aliyeleta mchango mkubwa wa mapinduzi ya kisiasa hapa nchi?inaama hakuna chuo hata kimoja kilichoweza kutambua mchango wa huyu deep thinker more than many profs are? even though i'm not a prof i want to declare my interest that hon Freeman Mbowe i honor you a doctarate for change and from now you are going to be named as Dr Freeman Mbowe.karibu nawe umtunuku mh Mbowe
Tanzania vilaza wanazidi kuongezeka kila siku.
Iko jikoni.nimekuwa najiuliza mara kwa mara kwa nini huyu kiongozi shupavu na mwenye misimamo imara hapewi digrii ya heshima kama mtu aliyeleta mchango mkubwa wa mapinduzi ya kisiasa hapa nchi?inaama hakuna chuo hata kimoja kilichoweza kutambua mchango wa huyu deep thinker more than many profs are? even though i'm not a prof i want to declare my interest that hon Freeman Mbowe i honor you a doctarate for change and from now you are going to be named as Dr Freeman Mbowe.karibu nawe umtunuku mh Mbowe
Mkuu huyu jamaa atatunikiwa na si muda mrefu. Huyu jamaa kwa baadhi yamambo ni KICHWA.
hawezi kununukiwa hizo za mfukoni, si umeona mheshimiwa pale mlimani city badala ya kumwita profesa wanamwita doctor...si wanamshusha kiwango, yeye ameshapanda hadi kawa prof, wao wanaona kwasababu sio prof ya kusomea basi ni sawa tu na kuwa doctor.....

Profesa ni cheo siyo lazima uwe na Phd, na Dr unatunukiwa au unaizamia.
Mfano: [h=1]Professor Thandika Mkandawire[/h]http://www.lse.ac.uk/internationalDevelopment/people/Mkandawire.aspx
Huyu hajawahi kufanya PhD.