acheni unaa
Mr II sugu ndiyo rais wa mbeya. wenye mikokoteni kuliko magari.
Nimeshangazwa na nilichokisikia asubuhi, taarifa za barabarani (radio one).
Arusha wamesema barabara zina msongamano wa magari sehemu za kuingilia jijini,
Mwanza the same, Dar magari yamejaa na kuna foleni...
Kutoka Mbeya magari ni machache ila waendesha mikokoteni ndiyo wengi madereva wawe makini...
Mbeya jiji na uwingi wa waendesha mikokoteni inakuwaje? hadi traffic kutoa taarifa za uwingi wa mikokoteni!!
serikali yako inamajibu mazuri juu ya hili swali.........#alliseeisshantytownsintz
mtoa mada una upeo mdogo sana wa kufikiria. Jiulize ni sifa gani za kuwa jiji utapata jibu sio unakurupuka tu.
Wewe labda ulikwenda Tanga miaka ya 80,nenda sasa uone.Tanga nalo ni jiji ila kuna msongamano wa waendesha baiskeli.
.ulivyoiongelea kama mtu mwema vile.kumbeMr II sugu ndiyo rais wa mbeya. wenye mikokoteni kuliko magari.