Kwanini matajiri wengi wana 'wadudu'?

Kwanini matajiri wengi wana 'wadudu'?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Sijajua kwanini…

Matajiri wengi sana wana wadudu, si wababa, na si wamama ! Ukiona tajiri anakushobokea, jiangalie sana…


Kiukweli maatajiri wengi wana ' wadudu ' wa hatari sana… magonjwa magonjwa jamani…

Weekend njema…
 
KWA ALIE ELEWA JAMANI NI WADUDU GANI WANAZUNGUMZIWA HAPA.MTOA MADA SIJUI NAE NI TAJIRI
 
Mtoa mada atakuwa ni mdudu ndio Mana anawajua matajiri wengi
 
Back
Top Bottom