Kwanini Marekani anamuogopa Korea kaskazini kuliko Iran?

Kwanini Marekani anamuogopa Korea kaskazini kuliko Iran?

Ukraine akiendelea kuwashadadia Wamagharibi atashangaa hadi Kiev imechukuliwa.
Ukitegemea akili ya jirani kuendesha familia yako matokeo yake ni kama ya Zelenski boy kashindwa kutumia akili zake kama kiongozi mpaka apangiwe na wamagharibi ili hali nyumba yake inaharibikiwa
 
Back
Top Bottom