Kwanini mapenzi

Dimple Jerry

Senior Member
Dec 18, 2012
118
11
bila mu wazima wa afya,yangu jion ya leo nahitaji kueleweshwa hiv ni kwanini mapenz yamekuwa ni kitu kinachoumiza vichwa vya watu na kufanya mtu akae anawaza.Maana watu wengi ninaobahatika kuzungumza nao wanalalamikia mapenzi wakati wengine tunatafuta nafasi ya kuzama kwenye mapenzi,mwana MMU hii imekaaje?
 
Mapenzi ndio almost kila kitu, kwa kiwango kikubwa binadamu tunawaza mapenzi, tunahangaika kila kukicha kwa ajili ya mapenzi, upo hapo ulipo kwa vile kuna watu waliwaza mapenzi na kuyatenda wewe ukapatikana, na leo hii na wewe unawaza mapenzi.

Kifupi sio mbaya kuwaza hivyo, lakini sio vema kuendekeza mapenzi.
 
ni kweli siyo vizur kuyaendekeza lakini inakuwaje kila leo mahusiano na ndoa zinavunjika na kwali hii kutakuwa na ndoa za kudumu kweli?
 
Mapenzi dawa yake ni kufollow the wind and ku dance the tune. We nenda yanakokupelaka tu. Golden rule is Mpende Akupendae!!!!!!!!!1 Baaaaaaaaaaas! Ukijifanya rules maker utaaibikaje????????
 
ina maana kama unampenda mtu halafu yeye anakuzingua ni bora umuache
 
ni kweli siyo vizur kuyaendekeza lakini inakuwaje kila leo mahusiano na ndoa zinavunjika na kwali hii kutakuwa na ndoa za kudumu kweli?

Sio mahusiano na ndoa zote huwa zinavunjika, ukitafuta ni kwa kiwango gani mahusiano na ndoa zinavunjika utakuta ni ndogo tu percentage wise, usiogope, mbona ndoa zipo nyingi zilizo imara na nyingine nyingi zinafungwa kila kukicha.

Kumbuka kufanya uchunguzi yakinifu kabla ya kuanza mahusiano kwa ajili ya ndoa, na uwe muwazi na mkweli daima katika mahusiano yenu na maisha yako kwa wakati huo, ndoa inajengwa katika misingi ya ukweli.

Kama una wito wa ndoa ni bora kuitikia wito wako huo, maana ndoa ni mpango wa Mungu kwa sisi wanadamu hapa duniani.
 
mkuu nisaidie katika hili ni wakati muafaka unaweza kutambua kwamba unatakiwa kuoa
 
Mapenzi dawa yake ni kufollow the wind and ku dance the tune. We nenda yanakokupelaka tu. Golden rule is Mpende Akupendae!!!!!!!!!1 Baaaaaaaaaaas! Ukijifanya rules maker utaaibikaje????????

Imagine kama utapendwa na wengi, nawe pia ukawapenda pia, je ni sahihi pia kutumia hiyo Golden rule as per your suggestion?
 
ila kwangu mimi ni mara chache sana kukutana na mtu unayempenda nae anakupenda maana weng ni mapenz ya upande mmoja
 
Usikate tamaa ipo siku utakutana na mtu anayekupenda kwa moyo wa dhati kama unavyompenda wewe, mapenzi yanaanza taratibu na baada ya muda yanakolea, hivyo usiwe mwepesi wa kukata tamaa kabla penzi halijashika kasi.
 
mkuu asante kwa ushauri wako maana wengi niliokutana nao niliwapenda na kuwajali lakini mwisho wa siku wanasema wako kwene mahusiano
 
Ha ha kila ki2 kina TaMu na ChuNgU yake rfk pata mtu aliye fall in luv nw na wanapendana aaah kwao burudaaaani pata aliye umizwa atakwambia anataman dunia ifke mwisho...dats ol!
 
bila mu wazima wa afya,yangu jion ya leo nahitaji kueleweshwa hiv ni kwanini mapenz yamekuwa ni kitu kinachoumiza vichwa vya watu na kufanya mtu akae anawaza.Maana watu wengi ninaobahatika kuzungumza nao wanalalamikia mapenzi wakati wengine tunatafuta nafasi ya kuzama kwenye mapenzi,mwana MMU hii imekaaje?

Tusipotezeane mida hebu tueleze yaliyokukuta tu tujue moja.
 
Analia ya kwamba hajapata anayempenda, na wale anaowapata wazuri anakuta tayari wako kwenye mahusiano na wanakuwa hawako tayari kuvunja mahusiano hayo ili kuwa naye.
 
unaempenda hakupendi. usiempenda anakupenda.
game theory - chicken game.
 
Back
Top Bottom