F.B.I ndio walikua wanaratibu waziri gani awepo! Kama huamini kamuulize Kova
Cuba na UKKwani huyu dogo amesomea wapi?
University of Hauana (Cuba)
MSc. (Economics)
1984
1989
MASTERS DEGREE
University of London (SOAS)
MSc. (Econ)
1994
1995
MASTERS DEGREE
Univesity of London (SOAS)
Post Graduate Diploma (Econ)
1993
1994
POSTGRADUATE
Shaban Robert Secondary School
O-Level Education
1979
1982
SECONDARY
Upanga Primary School
Primary Education
1972
1978
PRIMARY
Du! Toka O level mpaka Postgraduate!!!!!
Hata wewe naona kuna vitu huvielewi hapa. Wakati prof anahama ccm ilikuwa bado mchakato wa kumteua mgombea urais haujaanza, Ila nakumbuka alilazimishwa ajiuzulu akiwa waziri wa fedha, Rais Mwinyi akafanya mabadiliko akampeleka viwanda na biashara na Mh Kikwete akahamishwa kutoka nishati na madini kwenda wizara ya fedha. Nadhani kulikuwa na shinikizo la nje maana baada ya muda mfupi Patric Chokara alitangaza kujiuzulu kwake. Baada ya hapo Prof alijiunga na chama kilichokuwa kinaitwa NRA na baadae kikabadilishwa jina kikaitw NAREA. Baada ya kukiimarisha hiki chama Prof alikwenda majuu kwa matembezi (sijui alichofuata huko kwa kweli) baada ya muda mfupi alitangazwa amekufa na maiti yake ilirejeshwa nchini kwa mazishi. Ninachokumbuka ni kuwa Rais wa wakati huo Mh Ali Hasan Mwinyi alimwagia sana sifa, akisema kuwa marehemu alikuwa mchapa kazi, mwenye ushirikiano mzuri pia msomi aliebobea katika uchumi.Mkuu unauhakika na unachosema? Prof Kighoma Malima hakuwa mtu wa chuki pamoja na watu kumsema vibaya. Prof Malima alihama CCM baada ya jina lake kuenguliwa kwa mizengwe kugombea Urais 1995. Mwalimu na Paul Sozigwa ni miongoni mwa watu waliomwekea mizengwe. Huo ni ukweli, jaribu kuulizia kwa undani, utaelezwa
Thanx Mkuu kwa maelezo mazuriHata wewe naona kuna vitu huvielewi hapa. Wakati prof anahama ccm ilikuwa bado mchakato wa kumteua mgombea urais haujaanza, Ila nakumbuka alilazimishwa ajiuzulu akiwa waziri wa fedha, Rais Mwinyi akafanya mabadiliko akampeleka viwanda na biashara na Mh Kikwete akahamishwa kutoka nishati na madini kwenda wizara ya fedha. Nadhani kulikuwa na shinikizo la nje maana baada ya muda mfupi Patric Chokara alitangaza kujiuzulu kwake. Baada ya hapo Prof alijiunga na chama kilichokuwa kinaitwa NRA na baadae kikabadilishwa jina kikaitw NAREA. Baada ya kukiimarisha hiki chama Prof alikwenda majuu kwa matembezi (sijui alichofuata huko kwa kweli) baada ya muda mfupi alitangazwa amekufa na maiti yake ilirejeshwa nchini kwa mazishi. Ninachokumbuka ni kuwa Rais wa wakati huo Mh Ali Hasan Mwinyi alimwagia sana sifa, akisema kuwa marehemu alikuwa mchapa kazi, mwenye ushirikiano mzuri pia msomi aliebobea katika uchumi.
dah kweli darisalama si mchezo,hv mnapata wapi hizi data?Malima alipelekwa Wizara ya Kilimo kama kuwadi wa biashara ya ugawaji wa vibali vya uagizaji wa bidhaa za kilimo nchini hasa sukari na mchele. Uagizaji wa sukari ulipaswa kuwa viwanda na biashara lkn sasa upo kwa Malima.
Ukitaka kibali cha sukari na hela ya kuhonga ipo unaelekezwa kwa Riz1. Ukifika kwa huyu hatua inayofuata utasindikizwa kwa memo nzito hadi kwa Katibu Mkuu-Kilimo na kwa Malima. Na mchezo ndo unakuwa umekamilika hivyo.
dah kweli darisalama si mchezo,hv mnapata wapi hizi data?
Hahahaaaaaaa,bora ata slaa... Au akashangae ya Mwenyekiti wao mboe kabisaa kutoka vidudu hadi bungeni
Jamaa anagonga Sana Kizungu, huenda alienda kama back up kumsaidia JK pale asipomuelewa Obama maana rais wetu kizungu chake kama Nchimbi tu
Kwa CV hii ya kupita mpaka CUBA basi huyu ni TISS wa cheo cha juu sana, so kutembea na SMG, yamkini alikuwa kwenye majukumu ya TISS zaidi kuliko uwaziri!!
University of Hauana (Cuba)
University of London (SOAS)
Univesity of London (SOAS)
Shaban Robert Secondary School
Upanga Primary School
[TD="align: center"]MSc. (Economics)
[/TD]
[TD="align: center"]1984
[/TD]
[TD="align: center"]1989
[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE
[/TD]
[TD="align: center"]MSc. (Econ)
[/TD]
[TD="align: center"]1994
[/TD]
[TD="align: center"]1995
[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE
[/TD]
[TD="align: center"]Post Graduate Diploma (Econ)
[/TD]
[TD="align: center"]1993
[/TD]
[TD="align: center"]1994
[/TD]
[TD="align: center"]POSTGRADUATE
[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education
[/TD]
[TD="align: center"]1979
[/TD]
[TD="align: center"]1982
[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY
[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education
[/TD]
[TD="align: center"]1972
[/TD]
[TD="align: center"]1978
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]
Du! Toka O level mpaka Postgraduate!!!!!
huwezi jua kweli, mimi nilikuwa wakati wote nimepiga magoti naomba isije tokea kama Jangwani na Kirumba ambapo ingelikuwa aibu kwetu sote na kweli mpaka airforce one inaruka nikasema Mungu mkubwa. Labda sala zangu huenda zilikuwa ziada tu!!!Wafuatiliaji wa mambo na masuala ya kisiasa, wameelezea kuonekana huko kwa Malima katika mapokezi hayo kumeacha tafsiri pana, wengine wakidhani kwamba huenda Malima ana umuhimu mwingine tofauti usiofanana na hadhi yake ya Unaibu Waziri katika serikali ya Rais Kikwete.