Kwanini majiji yanayoongozwa na Chadema yanashindwa kukusanya kodi ipasavyo?!

Kwa mfano jiji la Mbeya na Dsm ni mini kinasababisha yapitwe na mini jipya la Dodoma?.....au wanasiasa na watendaji wake hawazingatii kauli ya hapa kazi tu? Mwenye majibu Tafadhali nasubiri!
jibu rahisi ni kwamba,yakifanya vizuri anasifiwa mkuu wa mkoa husika,yakifanya vibaya wanalaumiwa chadema.kama ni muelewa umenielewa
 
Kwa mfano jiji la Mbeya na Dsm ni mini kinasababisha yapitwe na mini jipya la Dodoma?.....au wanasiasa na watendaji wake hawazingatii kauli ya hapa kazi tu? Mwenye majibu Tafadhali nasubiri!
Fanya uchunguzi wewe huoni kama ile takwim ya dodoma ililetwa kisiasa? Hii ilikiwa ili upinzani uzidi kuonekena wezi
 
Kwa mfano jiji la Mbeya na Dsm ni mini kinasababisha yapitwe na mini jipya la Dodoma?.....au wanasiasa na watendaji wake hawazingatii kauli ya hapa kazi tu? Mwenye majibu Tafadhali nasubiri!
Soma hiyo dada
IMG_20180802_221322.jpg
 
Kwa mfano jiji la Mbeya na Dsm ni mini kinasababisha yapitwe na jiji jipya la Dodoma?.....au wanasiasa na watendaji wake hawazingatii kauli ya hapa kazi tu? Mwenye majibu Tafadhali nasubiri!
Nasikia BASHITE wakati wowote anafungashiwa virago anarudi koromidje
 
Back
Top Bottom