Kwanini Mahotelini hakuna nyama ya Bata?


Sijui umepitia migahawa gani labda, jaribu Chinese restaurants utaikuta.
 
Kama upo hapa Dar- tembelea Golden Tulip. nyama ya bata ipo.
 
bata ni common sana baadhi ya maeneo, tembea temba utaona
 
majumbani umekuta Chips bata n.k lini?
 
Ni kutokana na mahitaji ya walaji yaani wanunuzi.
 
Hujawahi sikia watu wanasema wanaenda kula bata hata mpaka nje ya nchi?
 
Mtoa mada umetisha! Nafikiri nyama ya bata siyo tamu sana hivyo haipendwi na watu wengi na kwa maana hiyo haina soko.. Maana kuna wachangiaji wanadai eti ana gharama sana. Hivi gharama ya bata ni kubwa kuliko ya Noa a.k. mdudu a.k.a kitimoto?
 
Daaah ebwana unajua shughuli yakumwandaa bata ili awetayari kulika lakini hapo ndonaona wanchemka wapishi niwachache sana na bata kabla hujamchinja anaitaji maandalizi sio kama ndege wengine
 
Kuna ile dhana kwamba, ukimnyonyoa bata ukiwa unaongea eti manyoya yanaota tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…