lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
bata wapo wachache!
Sema umetembelea vijiwe vyote vya mama ntilie.... na usitudanganye kuwa wewe ni mtu wa ''hoteli za ndani na nje ya nchi''.kuna kitu kinanichanganya sana jamani nimetembea katika hoteli ni migahawa mbalimbali ndani na nje ya nchi lakini sijawahi kukuta nyama ya bata inauzwa mfano. CHIPS BATA,WALI BATA UGALI BATA, lakini zimejaa nyama za kuku tu. je kwa nini hatupendi kula nyama ya bata kama kuku? je siyo tamu,ni gharama? jamani karibuni tujuzane
ikiwekwa ya bata utasema mbona ya mbwa hamna
Sema umetembelea vijiwe vyote vya mama ntilie.... na usitudanganye kuwa wewe ni mtu wa ''hoteli za ndani na nje ya nchi''.
Nitakuaminije wakati hata kuandika hujui! (unihamini = huniamini)mkuu unihamini au?
masai dada heshima yako mkuu
poa mkuuu za ijumaaa naona uko sehem unapata nyama ukatamani iwepo na ya bata
Nitakuaminije wakati hata kuandika hujui! (unihamini = huniamini)
vp ulisha wahi kutana naya paka. ukiionja utasema bata
Kondoo je umeona nyama yake ikiuzwa hotelini?