aka2030 JF-Expert Member Jan 5, 2013 2,650 3,662 Apr 22, 2016 #1 hilo swala najiuliza sana na akasema atatoa salary slip yake lakin mpaka leo kimya
O onyx JF-Expert Member Mar 17, 2016 1,587 1,316 Apr 22, 2016 #2 Ili cku mkimbana sana, anasema ilikuwa siku ya wajinga
C Camp Gilgal JF-Expert Member Dec 13, 2014 4,452 4,580 Apr 22, 2016 #3 Kwa sababu "wajinga ndo waliwao." Wewe unaamini kweli anapokea milioni 9?! Sijui...!
TUJITEGEMEE JF-Expert Member Nov 6, 2010 24,750 24,801 Apr 22, 2016 #4 siku hiyo haitambuliki kwenye kalenda ya serikali, yaani ni rahisi namna hiyo. acheni kupoteza muda wa watanzania wako kazini.
siku hiyo haitambuliki kwenye kalenda ya serikali, yaani ni rahisi namna hiyo. acheni kupoteza muda wa watanzania wako kazini.