Kweli kabisa mkuuWaafrica tukiona wazungu tunababaiuka
wakisema wao ni researchers tunawababaikia
huku ukweli wao wametugeuza sisi ndo 'wanyama wa kutestia virus wanaowatengeneza kwenye maabara zao
sio bahati mbaya ilipozuka Ebola huko Sierra Leone na Liberia
tayari wataalam wa magonjwa hayo kutoka Europe walikuwa huko tayari..
Ukichunguza utagundua kila mlipuko wa magonjwa unapotokea
tayari wahao researchers wako huko..kama vile walikuwa wanasubiri vile
The boss,unachosema inawezekana ikawa ni kweli hawa wazungu wametugeuza wanyama wa kutestia virus wavitengenezavyo maabara.Waafrica tukiona wazungu tunababaiuka
wakisema wao ni researchers tunawababaikia
huku ukweli wao wametugeuza sisi ndo 'wanyama wa kutestia virus wanaowatengeneza kwenye maabara zao
sio bahati mbaya ilipozuka Ebola huko Sierra Leone na Liberia
tayari wataalam wa magonjwa hayo kutoka Europe walikuwa huko tayari..
Ukichunguza utagundua kila mlipuko wa magonjwa unapotokea
tayari wahao researchers wako huko..kama vile walikuwa wanasubiri vile
Magonjwa mengi ni biological weapon za hao wazungu na Waafrika ni specimen.Hata Mimi nimejiuliza tena kama sio Uganda ni kongo.
Ila kwa maelezo ya mtaalam kuwa species nyingi original yake ni huku, pia kuna diversity nyingi za viumbe kuliko mahala popote duniani
unanikumbusha kipindi kile wenyeji wanasema Ebola haipo,wazungu wanasema ebola ipo-mwishowe wakaamu watume wanajeshiWaafrica tukiona wazungu tunababaiuka
wakisema wao ni researchers tunawababaikia
huku ukweli wao wametugeuza sisi ndo 'wanyama wa kutestia virus wanaowatengeneza kwenye maabara zao
sio bahati mbaya ilipozuka Ebola huko Sierra Leone na Liberia
tayari wataalam wa magonjwa hayo kutoka Europe walikuwa huko tayari..
Ukichunguza utagundua kila mlipuko wa magonjwa unapotokea
tayari wahao researchers wako huko..kama vile walikuwa wanasubiri vile
Kila Bara lina sifa zake sifa ya Afrika ndio hio, manake kama sio vita basi maradhi. maendeleo 0%NIMESIKILIZA BBC SWAHILI USIKU HUU WANASEMA UGONJWA HATARI WA ZIKA AMBAO UNASUMBUA BRAZIL NA AMERIKA KUSINI KWA UJUMLA ULIGUNDULIKA UGANDA MIAKA KADHAA ILIYOPITA.NIKIVUTA KUMBUKUMBU ZANGU EBOLA ILIANZIA CONGO.UKIMWI ULIANZIA UGANDA.NDUI NA MALARIA NI AFRIKA.TUNA LAANA AU!?
NAHIC UTAKUWA NA MTINDIO WA UBONGO NA TAAHIRA YA AKILI.xyz....we!Laana unayo wewe na familia yako unaacha kujifunza ukapata maarifa umebaki kufikilia upuuzi,na ndio nyie mnaofanya hata hii mitandao ya kijamii ionekane ni kwa ajili ya waatu wasio makini kama nyinyi, mie ningekushauli mbakie huko huko kwenye udaku muone uone kama tutawafuata, humu ni sehemu ya kutafakari na kupata ufumbuzi na hata kukemea matatizo yanayotukabili kama jamii.
Nawakilisha.
NIMESIKILIZA BBC SWAHILI USIKU HUU WANASEMA UGONJWA HATARI WA ZIKA AMBAO UNASUMBUA BRAZIL NA AMERIKA KUSINI KWA UJUMLA ULIGUNDULIKA UGANDA MIAKA KADHAA ILIYOPITA.NIKIVUTA KUMBUKUMBU ZANGU EBOLA ILIANZIA CONGO.UKIMWI ULIANZIA UGANDA.NDUI NA MALARIA NI AFRIKA.TUNA LAANA AU!?