Kama kuchelewa kazini ni tatizo basi abuni mfumo wa kuwafanya watu wawahi kazini nchi nzima katika hospitali zote.Sio kufanya ukorokokoroni ili apata umaarafu katika vyombo vya habari.Dada ngoja ufike wakati wako wa kujifungua alafu uende hospital ukakute hamna daktari ndo utajua umuhimu wa alichofanya Kigwangala,,,, hii nchi inasikitisha sana kuona uchama umetugawa kiasi kwamba anachofanya mpinzani wako hata kama ni shaihi unaona si sahihi!
Kumbe hawa wafanyakazi wanafanya watakayo huko maofisini wakijua Mitanzania ni mijinga, haitafanya lolote, na mtu akitokea kujaribu kuwaweka sawa, watatetewa na Mitanzania hiihii inayolalamikia huduma mbovu!