JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Mafundi wa kibongo wakitengeneza gate la chuma, utahitaji winchi kufunga. Seti moja ya sofa inabebwa na gari tani 5. Mbao za kitanda kimoja, zinaweza toa vitanda vitatu. Acha kuigana style, wao ni kutoa photocopy tu, hawana ubunifu. Halafu wabishi balaa, hawatakagi ushauri!!!
Kwanini hawajiongezi?
Kwanini hawajiongezi?