Asante, angalau wewe bra unafahamu maana ya eneo unaloishi, wengine wako wapi????? nimekugongea thanks kwa ujasiri wakogongo la mboto
mboto ni jina la mtu na alikuwa anauza gongo kwaiyo watu wakawa wanasema nakwenda kunywa gongo la mboto ndo likawa jina mpaka leo
Asante, angalau wewe bra unafahamu maana ya eneo unaloishi, wengine wako wapi????? nimekugongea thanks kwa ujasiri wako
gongo la mboto
mboto ni jina la mtu na alikuwa anauza gongo kwaiyo watu wakawa wanasema nakwenda kunywa gongo la mboto ndo likawa jina mpaka leo
Umedanganya Gongo ni neno la Kizaramo lenye maana ya shamba na Mboto ni rutuba kwa maana hiyo Gongo la mboto ilipewa jina hilo kufuatiw eneo hilo kuwa lenye rutuba.
Na Banana ni kweli kuliwa nahiyo Bar lakini hakuna habari ya mgomba wala mdizi.
Kijana wacha ulongo
Sasa Mazee Azikiwe yeye bra drphone hiyo ndio maana anayoijua kwahiyo hajadanganya ila kwa hii maana uliyoitoa ndio hoja inaibukia hapo ili tupate ukweli wa maana ya eneo husika.Umedanganya Gongo ni neno la Kizaramo lenye maana ya shamba na Mboto ni rutuba kwa maana hiyo Gongo la mboto ilipewa jina hilo kufuatiw eneo hilo kuwa lenye rutuba.
Na Banana ni kweli kuliwa nahiyo Bar lakini hakuna habari ya mgomba wala mdizi.
Kijana wacha ulongo
mmmmh ulikuwa wapi?mbn unavuta shuka kumekucha?
Mazee upo deep kwakwelikimara stopover
nikituo kinachofata baada ya kmara mwisho hili jina lilikuja hapo zamani mizani ilikuwaga pale ubungo kabla ya kuhamia kibaha so kulikuwa na bango kubwa sana lililoandikwa stop over bar so malori mengi yalikuwa yanasimama hapo kwanza na kupata moja moto moja baridi nakuendelea na safari likawajina mpaka leo nalile bango silionagi siku hizi