Kwanini maeneo haya yalipewa majina ya hivi?

Sipo

JF-Expert Member
Jul 25, 2008
2,139
91
Keko Magurumbasi
Magomeni
Afrika sana
Sinza Mori
Sinza kwa Remmy
Sinza Palestina
Mwenge
Mbezi Louis
Africana
Kijitonyama
Ubungo Kibangu
Ubungo Maziwa
Manzese
Tandale
Temeke
Kunduchi
Kimanzichana
Mbagala
Salasala
Kibamba
Kibamba Magarisaba
Kibaha
Buguruni
Kinondoni
Madale
Bunju
Boko
Tegeta
Goig
Makonde
Jogoo
Mabibo
Masaki
Oysterbay
Gongo la mboto
Ukonga
Kipawa
Chanika
Kigamboni
Mwanakwerekwe
Mkunazini
Mbagala Charambe
Shekilango
Sinza Mugabe
Sinza Mapambano

Chang’ombe
Ilala
Ilala Boma
Kurasini
Makumbusho
Victoria
Mikocheni
………..na maeneo mengineyo wenye kujua maana yake waweke hapa tuelimike na kujua maana ya sehemu tunazoishi
 
mbezi kwa msuguri

ni baada ya temboni hili jina ni baada ya cdf wetu mtaafu mzee msuguri kuhamia hapo na kujenga nyumba yake na kuweka makazi yake kabla ya kuhamia musoma so kama kawa likazaliwa jina mbezi kwa msuguri
 
gongo la mboto

mboto ni jina la mtu na alikuwa anauza gongo kwaiyo watu wakawa wanasema nakwenda kunywa gongo la mboto ndo likawa jina mpaka leo

Umedanganya Gongo ni neno la Kizaramo lenye maana ya shamba na Mboto ni rutuba kwa maana hiyo Gongo la mboto ilipewa jina hilo kufuatiw eneo hilo kuwa lenye rutuba.

Na Banana ni kweli kuliwa nahiyo Bar lakini hakuna habari ya mgomba wala mdizi.

Kijana wacha ulongo
 
Sasa Mazee Azikiwe yeye bra drphone hiyo ndio maana anayoijua kwahiyo hajadanganya ila kwa hii maana uliyoitoa ndio hoja inaibukia hapo ili tupate ukweli wa maana ya eneo husika.
 
kimara stopover
nikituo kinachofata baada ya kmara mwisho hili jina lilikuja hapo zamani mizani ilikuwaga pale ubungo kabla ya kuhamia kibaha so kulikuwa na bango kubwa sana lililoandikwa stop over bar so malori mengi yalikuwa yanasimama hapo kwanza na kupata moja moto moja baridi nakuendelea na safari likawajina mpaka leo nalile bango silionagi siku hizi
 
Mazee upo deep kwakweli
Na wale wanaoishi maeneo ya
Mbezi Tanki Bovu
Mbezi Samaki
Mbuyuni
Morocco
Posta
Kariakoo
etc etc etc mtupe maana ya maeneo mnayoishi
 
Umedanganya Gongo ni neno la Kizaramo lenye maana ya shamba na Mboto ni rutuba kwa maana hiyo Gongo la mboto ilipewa jina hilo kufuatiw eneo hilo kuwa lenye rutuba.

Na Banana ni kweli kuliwa nahiyo Bar lakini hakuna habari ya mgomba wala mdizi.

Kijana wacha ulongo

pls kabla ujanituhumu na kuniita mwongo tafuta historia kwanza ya eneo husika acha tafsiri za maneno moja moja
 
kibanda cha mkaa

nikituo kinachofata baada ya kwamsuguri kunakituo cha msaada then unaingia kibanda cha mkaa kama lilivyo jina palikuwa na kibanda kinauza mkaa ila kwa sasa pamekuwa pakubwa so baada ya barabara kubwa hii kujengwa watu wakawa waakitaka kusema unaposhuka unasemaa msaada kwenye kibanda cha mkaa likawajina kikawa kituo siku hihi
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom