Kwanini madini ya shaba ni mazito sana

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,595
Reaction score
43,039
kimsingi madini ya shaba ni mazito mno tofauti na tunavyoyaona yakiwa kwenye slates Kuna mwaka Fulani gari ya shaba ilidondoka mlima mbalizi ilibidi wakodi winchi kuyainua vile visahani vya shaba sasa Jana nimeona magari maskania yana matairi mengi na yana eskot ya wide load mbele na nyuma nadhani baadhi yenu mtakuws mmeyaona tokea Zambia mbeya iringa Moro na dar!
Swali LA msingi kwann shaba ni nzito?
 
Sisi tunajua Tanzanite tu shaba uliza wa Zambia
 
Copper is very expensive, lakini lorry likipinduka na kuzimwaga wezi hawawezi kuiba kwa urahisi!
 
Umesahau physics ya form 1 kuwa Mass =Density × Volume ?
 
Copper is very expensive, lakini lorry likipinduka na kuzimwaga wezi hawawezi kuiba kwa urahisi!
Ni kweli swali ni je soko lake au uzito wake maana nakumbuka hata ya pale mbalizi hakuna aliyeyagusa wiki nzima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…