Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,359
- 28,006
Wahuni wako kila mahali, Polepole nae alilalamika huko CCM kuna wahuni pia.Hawa madaktari wa siku hizi ni kama wamevamia fani?
Haswa haswa hawa vijana walioajiriwa karibuni, hawajui maadili ya kazi wala hawajui kuhudumia wagonjwa.
Ukizungumza nae hakusikilizi, yuko bize anachati WhatsApp halafu kaweka earphones. Kavaa mlegezo na KIDUKU. Ati daktari!
Sijui walifunzwa wapi hawa, anakujazia madozi chungu mzima bila hata kujua unaumwa nini kwa hakika! Yuko bize na simu anafuatilia udaku wa INSTAGRAM.
Ni tofauti kabisa na madaktari wa zamani, ukifika unasikilizwa kwa makini, unahojiwa, unachunguzwa, unaambiwa achama mdomo aaaahhh, unaachama mdomo, unakaguliwa macho, yaani hadi raha!
Lakini hawa vibushuti wa mwendokasi wa siku hizi wanaovaa milegezo, bure kabisaa!
Nitaanza kwenda hospitali na bakora, ni mwendo wa kuwatandika kweli kweli.
Kama waajiri wao wameshindwa kuwadhibiti, nitafanya mwenyewe. Ni bakora tu mpaka wanyooke.
Tulitaka tu kufahamu kama uliridhia kupakatwa au hapana.Sindano nilichoma! inaweza kua alinichoma yeye au daktari mwingine sababu dr sio yeye peke yake.
Mnang'ang'ania muendelezo msiporidhika na huo basi tungeni wa kwenu😄.
Well said.Issues ni malezi ila mlezi mkuu Huwa ni MUNGU pekee...
Mimi nilianza kupevuka fikra na akili still nikiwa mdogo sana kuongea na watu kuheshimu wakubwa Kwa wadogo Ethics za jamii mbalimbali kifupi hii Dunia ni ku be humble....
Ukiona mtu anajisifu au kujivuna Kwa ajili ya cheo au nafasi yake ama ELIMU yake basi MAKABURI yangejisifu na kujimwambafai maana yamezika (kufukia) werevu, wajuvi na wenye taaluma mbali mbali
Usikute umekutana na Intern anayejifunza kazi.Hawa madaktari wa siku hizi ni kama wamevamia fani?
Haswa haswa hawa vijana walioajiriwa karibuni, hawajui maadili ya kazi wala hawajui kuhudumia wagonjwa.
Ukizungumza nae hakusikilizi, yuko bize anachati WhatsApp halafu kaweka earphones. Kavaa mlegezo na KIDUKU. Ati daktari!
Sijui walifunzwa wapi hawa, anakujazia madozi chungu mzima bila hata kujua unaumwa nini kwa hakika! Yuko bize na simu anafuatilia udaku wa INSTAGRAM.
Ni tofauti kabisa na madaktari wa zamani, ukifika unasikilizwa kwa makini, unahojiwa, unachunguzwa, unaambiwa achama mdomo aaaahhh, unaachama mdomo, unakaguliwa macho, yaani hadi raha!
Lakini hawa vibushuti wa mwendokasi wa siku hizi wanaovaa milegezo, bure kabisaa!
Nitaanza kwenda hospitali na bakora, ni mwendo wa kuwatandika kweli kweli.
Kama waajiri wao wameshindwa kuwadhibiti, nitafanya mwenyewe. Ni bakora tu mpaka wanyooke.
Kwani wewe k yako iko kweupe tu ni ya kufika na kuchomeka tu?Alitaka ampakate wakati wa kumchoma sindano.
Means angeingiza dushe kwenye K
Aacha walimu nao tupumueLeo tumeamka na sekta ya afya.
Acha tuone siku itakavyoisha kwao watumishi wa afya.
Imekuwa ya mbuziKwani wewe k yako iko kweupe tu ni ya kufika na kuchomeka tu?
Si ndiyo hata mimi nashangaa! Yaani kuinama tu kuchomwa sindano kitu kinaingia?Imekuwa ya mbuzi
Ntawabamiza mpakaaaa, na milegezo yao ni bakoraa za uhakikaWe nenda na hiyo bakora yako tu ukakutane na sindano za ng'ombe
umekumbuka nini 😂😂😂🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka kitu, nimecheka had bas,
Wee wizoo emu waache DRs vijana, hujui wanaenda na wakati??
Jiheshimu hata kidogo.Kwani wewe k yako iko kweupe tu ni ya kufika na kuchomeka tu?
Watu waache ushamba,jaji mkuu wa Kenya alikuwa anavaa hereni.Generation Z wana balaa. Kuna dogo mtaalamu wa IT anajua balaa mambo ya kutengeneza app na website ana virasta katoboa masikio hereni. Alikuja NMB kwenye meeting akiwakilisha kampuni yake watu wanamshangaa.
Muhuni muhuni ila ana bonge la CV na bonge la portofolio kwenye IT.
hakuna cha dakitari mzuri yuko mtaani wala nini, ni vile mazingira yake ya kazi yanambana, mfano wengi wako Private hospitals codes of conduct haziruhusu(ama zinasimamiwa ipasavyo), nae akiingia kwenye mfumo huu wa vijana wa serikali(wengi wao) atakua hivyo hivyoHii nchi ni ya kipumbavu kuliko unavyoweza kudhani. Madaktari wazuri wapo mtaani; hospitali nyingi za umma zimejaa madaktari wa ovyo wanaojiriwa kwa vimemo na kujuana.
IMimi daktari alienyoa kiduku kavaa bana suruali sijui busy na simu nitamfokeaa hatoamini na cha kunifanya atakosaa. Kwanza kidaktari kidogo dogo No plz Aniachee nife Asinihudumie
Kosa ni kurahisisha taaluma, Zamani kupata PCB division 1 ilikuwa ngumu,hata masomo ya udaktari siku hizi ni shallow shallow tu mradi wamalize, MD wa sasa ukimuweka na RMA wa zamani MD anaweza akapigwa nje.