Mwanamke mweupe anaraha yake,nitakuja baadae kuwaeleza kwanini tunawapenda hawa weupe,
Sisi wasukuma tunapenda weupe,
Jamani wasukuma kwanini mabinti weupe mnawageuza dili la kupatia pesa? Yaani mzee akiwa na mabinti wawili moja mweupe na mwingine mweusi, akiwaozesha basi binti mweupe mahari yake itakua milioni 4 na yule mweusi itakua laki 3 tu.
Kwanini wasukuma?
Mwanamke mweupe anaraha yake,nitakuja baadae kuwaeleza kwanini tunawapenda hawa weupe,
Tatizo ni wanaume wa kisukuma!
kwa sababu usukumani ni wachache
Mwanamke mweupe anaraha yake,nitakuja baadae kuwaeleza kwanini tunawapenda hawa weupe,
Ila nasikia ni wa baridi nje mpaka huko ndani.
Sisi wasukuma tunapenda weupe,
wanasema eti wasukuma/wazungu.
Kwa sababu weupe wana kiburi sana na dharau juu ndo maana mahari yao iko juu ili kuwadiscourage wanaotaka kuwaoa ili kupunguza idadi wa weupe. Lakini kutokana na watu kutaka ujiko zaidi kwa kujionesha anazo jemba nyingi hukumbilia hawa cheupe ili zitoe mahari nyingi na kuonekana wanazo kwa jamii