Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
Ukiona mazao yanapendeza ujue mbolea ipo ya kutosha
Jamani hivi Tanga Kunani?
Toka Nimekua na Kubalehe nasikia tu kuwa ukipata Mwanamke wa Kitanga Haujinasui na wengine wanasema eti Mwanaume Ukienda Tanga Hauwezi rudi Siku hiyo hiyo lazima ulale ...Najiuliza Hivi Mabinti wa Kitanga wana nini ?
Huku Mtaani kwetu wanagombaniwa kama Njungu.....
Tufahamisheni jamani Wanaojua
Hapana. Mimi nimekutana na wachaga wawili kwakifupi niliboreka.sahivi hata mabinti wa kichaga wanatamba, michezo yote wanacheza
Huduma zao swaaafi. halaf service charge kwao sio kipaumbele
hata hao wewe, yani ukiendana na mziki anaokuchezesha hutoi ya uchakavu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao bana wamakonde!
Wenyewe wanakwambia "kunnyima ntu dhambi"
Umepewa bure toa bure [emoji23][emoji23]
Kitu ambacho siyo tafsiri sahihi kabisa!