Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Kuna rafiki yangu ameenda benki kuomba mkopo wa 100M. Afisa wa Mikopo kwenye hiyo benki akamtaka wakaongelee sehemu yenye utulivu. Ila nia yake awatoe lunch hao majamaa.
Kufika kwenye hiyo hoteli wakapiga msosi kama wa 200,000. Waliporudi ofisini, yule afisa wa benki akamwambia kama anataka 100M basi amuwekee Altezza hapo mezani akimaanisha amuachie 10M.
Ukiangalia muomba mkopo ana vigezo kabisa iweje hao maafisa waombe hiko kiasi cha pesa?
Wataalamu wa kuomba na kuidhinisha mikopo naomba mnieleweshe hapo.