ni Rais wetu mpya tunamlinda ili aje kutuvusha kuelekea nchi ya ahadi
hahahahahaaaa! Eti Rais Mtarajiwa!
Wadau,nimekutana na Mh. Lowassa mara kadhaa na nimemkuta na escort ya usalama wa taifa mara zote. Yeye ni waziri mkuu aliyejiuzuru,sijui kama waziri mkuu anaulinzi,sijaona kwa Mh.Warioba. Cha ajabu ni kuwa yeye sasa ni mbunge wa kawaida. Nimejiuliza kwanini bila majibu. Em tuelimishane wadau..,why ??
We ndugu yangu akiyekuambia Warioba hana ulinzi ni nani au ndo viroba vya Bavicha vinakusumbua
Hahahaaaahahaaaahaaahajui ndio maana anauliza,hajanywa viroba ni banana!.MAWAZIRI WAKUU WOTE WALIOPITA WANA WALINZI
hajui ndio maana anauliza,hajanywa viroba ni banana!.MAWAZIRI WAKUU WOTE WALIOPITA WANA WALINZI
Hata watumishi wa Mungu wana walinzi siku hizi. ...