friend kuwa mwelewa,lowasa hasaidii makanisa bali anaombwa na kanisa aongoze harambee,pia kusaidia kanisa ni kusaidia jamii nzima kwa kuwa huduma za kanisa hazibagui hata kawa we ni gaidi utatibiwa peramiho,kcmc na bugando kama mgalatia anavyotibiwa
Kwa sababu mada inajadili unafiki wa huyu mchamungu feki anayetakasa fedha chafu? Acha unafiki na kutumika kusiko na maana wewe!Napata wasiwasi kama mleta mada ni great thinker kweli!