DITOPILE WAPILI
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 386
- 265
- Thread starter
-
- #21
Kwani alipotangaza anataka kuleta mvua yeye alikuwa............Kura ya urais hukumpa akuletee mvua yeye mwehu!
Mtakufa na ukame
Magufufuli anakuambia mvua zipo
Wanao sema hakuna mvua ni wanasiasa na wapiga dili
Kwani anavyotaka kufanya harambee ya chakula kwa watu wenye njaa yeye ni kma nani Serikalini? Anavyotaka kuwapa watu chakula basi atuletee na ile mvua yake,kwanza ni bora alete ile mvua Maana itasaidia watu kulima na kupata chakulaNIAMBIE MOJA YA TAMKO ALILLOTOA LIKAFANYIWA KAZI. KUHUSU SERIKALI NA LIKAFANYIWA KAZI.
YAANI BADO MZIMU WA LOWASA UNAWAUMIZA AKILI LUMUMBA TYPE. KILA MILALA MNAMUOTA TU YEYE.
KIONGOZI MKUBWA HAPA NCHINI NI RAIS PEKEE. AU UNAKIRI KUWA LOWASA ALISHINDA UCHAGUZI ULIOPITA?????
Ujenzi wa shule za kata.
Kwani anavyotaka kufanya harambee ya chakula kwa watu wenye njaa yeye ni kma nani Serikalini? Anavyotaka kuwapa watu chakula basi atuletee na ile mvua yake,kwanza ni bora alete ile mvua Maana itasaidia watu kulima na kupata chakula
Kama unajua umuhimu wake kwa Taifa hili usingefanya figisu kaika uchaguzi uliopita.
HIVYO ENDELENI KUISOMA NAMBA, NA BADO MTAISOMA SANA.....
Kwlowasa ndo anaongoza serikali...??
Alaf simmesema hakuna ukame wala njaa???
Ss tupo bze tunazindua mwendokasi
Mvua ya nini!wakati ukame hakunaNakumbuka enzi zile alitaka kuleta mvua ya kutengeneza, nahisi hiki ni kipindi muafaka kutuletea mvua ya kutengeza.
Lowassa alitakiwa atunukiwe nishani ya usanii tangu akiwa CCM na akiwa Waziri Kuu. Jamaa bada ya kupiga Rich alitaka za mvua ya kutengeneza kule Mtera tu ili kukabiliana na upungufu wa umeme.
Alipojulikana JK akamtoa baru kama mtoto mdogo.
Lakini kama utaalamu ule bado upo sio vibaya akafanya kwa manufaa ya jamii nzima ya Watanzania.
UKAME HAKUNA NJAA HAKUNA MVUA MNATAKA YA NINI NYIE LUMUMBAZ
OVA
Basi itakuwa bora ikawa kuleta mvua ni moja ya ajenda yake 2020. maana uchumi wetu unategemea KILIMO 85% ya watanzania tunategemea kilimo, hivyo akija na sera ya kugawa mvua kila mtaa, kata, wilaya angalau kwa wiki mara moja itakuwa safi sana.
Tunataka Lowassa alete mvua yake ya kunyesha Mtera tu.
Hakuna njaa wala ukame. Mtalitaja sana jina Lowassa mwaka huu. Na bado hii ni trailler tu bado picha.Lowassa alitakiwa atunukiwe nishani ya usanii tangu akiwa CCM na akiwa Waziri Kuu. Jamaa bada ya kupiga Rich alitaka za mvua ya kutengeneza kule Mtera tu ili kukabiliana na upungufu wa umeme.
Alipojulikana JK akamtoa baru kama mtoto mdogo.
Well said mkuuYAANI SIKU MOJA HAIWEZI KUPITA BILA TEAM LUMUMBA KUANDIKA KUHUSU LOWASA.
JAMAA ANAWANYIMA USINGIZI, NA BADO MTAISOOMA NAMBA SANA MWAKA HUU.
Ulipanda ccm utavuna ccm. Mtalitaja sana jina lake mwaka huu. Na bado hii ni trailler tu subiri siku watu wakiaanza kufa kwa njaa, mkaweke kambi kwa Lowassa au awape chakula. Usijali uliipigia ccm lkn mpaka sasa unaonesha umeishaichoka ccm, atawaletea mvua sbb yy ndiyo raisi wa nchi hii. Ila km siyo raisi basi maombi yako yawasilishe kwa Magu sbb huyo ndiyo mtukufu wenu, atawaletea mvua.Tunataka Lowassa alete mvua yake ya kunyesha Mtera tu.
Mtkf rais ashasema ukame hakuna wapa njaa hakuna sasa lowasa alete mvua ya nini!Tunataka Lowassa alete mvua yake ya kunyesha Mtera tu.
MTALITAJA SANA JINA LA LOWASSA MWAKA HUU. NA BADO NYIE ENDELEEN KUISOMA NAMBA NA UKAME WENU. Na sasa hiv wameingia kweny mitandao, malaika wameshuka kuzima mitandao km malaika wenu alivyosema.Nakumbuka enzi zile alitaka kuleta mvua ya kutengeneza, nahisi hiki ni kipindi muafaka kutuletea mvua ya kutengeza.