Michele na Maharage vinatoka Ukraine mkuu? Au ni sera mbovu za Bashe kudhani ananufaisha wakulimaBei ya vyakula ni tatizo la Dunia, limeanza na ukame, baadae vita ya Ukraine ikaingia, supply chain za chakula zikavurugika, pamoja na ukame duniani.
Hakuna sehemu duniani utapata chakula kwa bei rahisi kwa Sasa.
Lissu anafanya Siasa za kilaghai tu.
CCM watatumia fursa hiyo kuwaambia vijana kwamba kilimo kinalipa, na Serikali haitaingilia biashara ya kilimo kwa kuvuruga bei.
Hao bodaboda watavutika na kilimo, wataondoka mjini, pia ni fursa ya ajira
Hivi "kilimo kwanza" iliishia wapi? Au haikuwa Enzi za CCM?Bei ya vyakula ni tatizo la Dunia, limeanza na ukame, baadae vita ya Ukraine ikaingia, supply chain za chakula zikavurugika, pamoja na ukame duniani.
Hakuna sehemu duniani utapata chakula kwa bei rahisi kwa Sasa.
Lissu anafanya Siasa za kilaghai tu. Na anayoyahutubia hayana uelewa wa mambo ya mtambuka. Yanaimbishwa tu people's power, kichwani yamejaza machicha ya mbege.
CCM watatumia fursa hiyo kuwaambia vijana kwamba kilimo kinalipa, na Serikali haitaingilia biashara ya kilimo kwa kuvuruga bei.
Hao bodaboda watavutika na kilimo, wataondoka mjini, pia ni fursa ya ajira
Kwa karibu miaka miwili nchi imekuwa kame, hayo maharage na mchele haukustawi kama ilivyo kawaida. Hata nyie Chadema, shamba lenu la Morogoro halikupata mvua.Michele na Maharage vinatoka Ukraine mkuu? Au ni sera mbovu za Bashe kudhani ananufaisha wakulima
Sasa mambo yote yanafanyika kwa pamoja, kilimo,viwanda, Kila kitu, hakuna kinachoweza kuwa Cha kwanza bila kingine pia kuwa Cha kwanza.Hivi "kilimo kwanza" iliishia wapi? Au haikuwa Enzi za CCM?
Bei ya vyakula ni tatizo la Dunia, limeanza na ukame, baadae vita ya Ukraine ikaingia, supply chain za chakula zikavurugika, pamoja na ukame duniani.
Hakuna sehemu duniani utapata chakula kwa bei rahisi kwa Sasa.
Lissu anafanya Siasa za kilaghai tu. Na anayoyahutubia hayana uelewa wa mambo ya mtambuka. Yanaimbishwa tu people's power, kichwani yamejaza machicha ya mbege.
CCM watatumia fursa hiyo kuwaambia vijana kwamba kilimo kinalipa, na Serikali haitaingilia biashara ya kilimo kwa kuvuruga bei.
Hao bodaboda watavutika na kilimo, wataondoka mjini, pia ni fursa ya ajira
TAML amenifurahisha kweli kaenda kwenye point hajamnanga hayati japo yeye ni muathirika wa moja kwa moja, nitaendelea kumuunga mkono kama nilivyofanya kabla 2017Mheshimiwa Lissu kaingizana nchini jana kama farasi wa ngongo. Mapokezi yake tu ni ishara tosha kuwa huyu ni mtu wa namna gani kwa watu wake.
Kwenye hotuba yake mara tu baada ya kuwasili, anawaongelea waziwazi watanzania wote. Matatizo ya bei za vyakula, mzigo wa matozo na kodi ni shida kwa watanzania wote wakiwamo hawa chawa wa mama isipokuwa tu labda kwa walamba asali.
"Nani atamwunga mkono Mama na bei hizi za vyakula au msururu huu wa matozo na kodi yasiyokuwa na idadi?"
Nani atamwunga Mama mkono kwa ugumu huu wa maisha ambapo wenzetu wenye kulamba asali mishahara, marupurupu na posho ni ya kufuru kutokea kwenye kodi tunazokamuliwa sisi?
"Nani atamwunga Mama mkono kwenye ununuzi wa magari haya ya 400m/- plus kuwa halali ya walamba asali na kila wanapojisikia?
Kwani kero zote zinazotuhusu wananchi hatujawahi kuwapa orodha zote? Kwani nini wamekifanya kuziondoa au hata kuzipunguza?
"Siyo hawa waliotuelekeza kama vipi tuhamie kwingine?"
Ni wazi kuwa matatizo yetu ni ya kikatiba zaidi. Tunahitaji katiba nyingine ili raslimali na shida zetu ziwe zetu sote. Tunahitaji haki na usawa kwa wote.
Hapa ndipo ulipo ule mfupa ambao umemshinda fisi. Mfupa huu unahitaji wenye meno. Haupo uchawi, busara, sayansi wala nini.
Anatakikana panya mwenye kumfunga Paka kengele!
Kwa Sasa na muda kidogo baadae, si kwa maslahi ya usalama wa nchi kukabidhi uongozi wa nchi kwa Chadema. Wakiwa mature wanaweza kujaribishwa. Kwa Sasa CDM ni taasisi ya motivational speakers.Tulipo ni pazuri sana penye siasa za kistaarabu:
Nani atamwunga mkono Mama na bei hizi za vyakula au msururu huu wa matozo na kodi yasiyokuwa na idadi?"
Nani atamwunga Mama mkono kwa ugumu huu wa maisha ambapo wenzetu wenye kulamba asali mishahara, marupurupu na posho ni ya kufuru kutokea kwenye kodi tunazokamuliwa sisi?
"Nani atamwunga Mama mkono kwenye ununuzi wa magari haya ya 400m/- plus kuwa halali ya walamba asali na kila wanapojisikia?
Jitendee haki tu kutufahamisha lipo hapo wewe utaliunga mkono?
Kumbuka kwenye vita vya panzi mwananchi kama kunguru ndiye atakaye furahi.
Braza upo serious kweli na maisha?????? Yaani tuache kumuunga mkono bi mkubwa afu tumuunge mkono lissu?????Mheshimiwa Lissu kaingizana nchini jana kama farasi wa ngongo. Mapokezi yake tu ni ishara tosha kuwa huyu ni mtu wa namna gani kwa watu wake.
Kwenye hotuba yake mara tu baada ya kuwasili, anawaongelea waziwazi watanzania wote. Matatizo ya bei za vyakula, mzigo wa matozo na kodi ni shida kwa watanzania wote wakiwamo hawa chawa wa mama isipokuwa tu labda kwa walamba asali.
"Nani atamwunga mkono Mama na bei hizi za vyakula au msururu huu wa matozo na kodi yasiyokuwa na idadi?"
Nani atamwunga Mama mkono kwa ugumu huu wa maisha ambapo wenzetu wenye kulamba asali mishahara, marupurupu na posho ni ya kufuru kutokea kwenye kodi tunazokamuliwa sisi?
"Nani atamwunga Mama mkono kwenye ununuzi wa magari haya ya 400m/- plus kuwa halali ya walamba asali na kila wanapojisikia?
Nk, nk yako mengi.
Kwani kero zote zinazotuhusu wananchi hatujawahi kuwapa orodha zote? Kwani nini wamekifanya kuziondoa au hata kuzipunguza?
"Siyo hawa waliotuelekeza kama vipi tuhamie kwingine?"
Ni wazi kuwa matatizo yetu ni ya kikatiba zaidi. Tunahitaji katiba nyingine ili raslimali na shida zetu ziwe zetu sote. Tunahitaji haki na usawa kwa wote.
Hapa ndipo ulipo ule mfupa ambao umemshinda fisi. Mfupa huu unahitaji wenye meno. Haupo uchawi, busara, sayansi wala nini.
Anatakikana panya mwenye kumfunga Paka kengele!
Huyo mshikaji si wanae wana uraia wa marekani????Afu ndio atuongelee watanzania wote????? Kua serious na maisha braza au na wewe ndio fresh from..... ....?????Mheshimiwa Lissu kaingizana nchini jana kama farasi wa ngongo. Mapokezi yake tu ni ishara tosha kuwa huyu ni mtu wa namna gani kwa watu wake.
Kwenye hotuba yake mara tu baada ya kuwasili, anawaongelea waziwazi watanzania wote. Matatizo ya bei za vyakula, mzigo wa matozo na kodi ni shida kwa watanzania wote wakiwamo hawa chawa wa mama isipokuwa tu labda kwa walamba asali.
"Nani atamwunga mkono Mama na bei hizi za vyakula au msururu huu wa matozo na kodi yasiyokuwa na idadi?"
Nani atamwunga Mama mkono kwa ugumu huu wa maisha ambapo wenzetu wenye kulamba asali mishahara, marupurupu na posho ni ya kufuru kutokea kwenye kodi tunazokamuliwa sisi?
"Nani atamwunga Mama mkono kwenye ununuzi wa magari haya ya 400m/- plus kuwa halali ya walamba asali na kila wanapojisikia?
Nk, nk yako mengi.
Kwani kero zote zinazotuhusu wananchi hatujawahi kuwapa orodha zote? Kwani nini wamekifanya kuziondoa au hata kuzipunguza?
"Siyo hawa waliotuelekeza kama vipi tuhamie kwingine?"
Ni wazi kuwa matatizo yetu ni ya kikatiba zaidi. Tunahitaji katiba nyingine ili raslimali na shida zetu ziwe zetu sote. Tunahitaji haki na usawa kwa wote.
Hapa ndipo ulipo ule mfupa ambao umemshinda fisi. Mfupa huu unahitaji wenye meno. Haupo uchawi, busara, sayansi wala nini.
Anatakikana panya mwenye kumfunga Paka kengele!
Mkono mtupu haulambwi braza!!!!!!Kama kuyaongelea matatizo yetu watanzania hata sisi tunaweza braza!!!!Mheshimiwa Lissu kaingizana nchini jana kama farasi wa ngongo. Mapokezi yake tu ni ishara tosha kuwa huyu ni mtu wa namna gani kwa watu wake.
Kwenye hotuba yake mara tu baada ya kuwasili, anawaongelea waziwazi watanzania wote. Matatizo ya bei za vyakula, mzigo wa matozo na kodi ni shida kwa watanzania wote wakiwamo hawa chawa wa mama isipokuwa tu labda kwa walamba asali.
"Nani atamwunga mkono Mama na bei hizi za vyakula au msururu huu wa matozo na kodi yasiyokuwa na idadi?"
Nani atamwunga Mama mkono kwa ugumu huu wa maisha ambapo wenzetu wenye kulamba asali mishahara, marupurupu na posho ni ya kufuru kutokea kwenye kodi tunazokamuliwa sisi?
"Nani atamwunga Mama mkono kwenye ununuzi wa magari haya ya 400m/- plus kuwa halali ya walamba asali na kila wanapojisikia?
Nk, nk yako mengi.
Kwani kero zote zinazotuhusu wananchi hatujawahi kuwapa orodha zote? Kwani nini wamekifanya kuziondoa au hata kuzipunguza?
"Siyo hawa waliotuelekeza kama vipi tuhamie kwingine?"
Ni wazi kuwa matatizo yetu ni ya kikatiba zaidi. Tunahitaji katiba nyingine ili raslimali na shida zetu ziwe zetu sote. Tunahitaji haki na usawa kwa wote.
Hapa ndipo ulipo ule mfupa ambao umemshinda fisi. Mfupa huu unahitaji wenye meno. Haupo uchawi, busara, sayansi wala nini.
Anatakikana panya mwenye kumfunga Paka kengele!
Weee chawa nawe ficha ujinga wako...umuunge mkono Kwa lipi? Mafuta bei juu ... Mchicha bei juu bando hazina utulivu .. elimu unga unga mwana ..maji pia unga unga mwana ..umeme hivyo hivyo....weeee kaa kimyaBraza upo serious kweli na maisha?????? Yaani tuache kumuunga mkono bi mkubwa afu tumuunge mkono lissu?????
Kwa Sasa na muda kidogo baadae, si kwa maslahi ya usalama wa nchi kukabidhi uongozi wa nchi kwa Chadema. Wakiwa mature wanaweza kujaribishwa. Kwa Sasa CDM ni taasisi ya motivational speakers.
Mtu anashambulia Kodi, wakati hakuna serikali inaendeshwa bila Kodi.
Imagine, unakabidhi nchi kwa Rais ambaye watoto wake ni wamarekani, na mkewe ni mmarekani
Ubaya au uzuri wa vita vya Ukraine havijaweza kufanya Serikali za Nchi masikini zibane matumizi yake !! Hiyo ndio shida kuu !! Ila vita hivyo vimeweza kuwaletea shida kuu wananchi wa kawaida !! Aliyeshiba hamjui mwenye njaa !!Bei ya vyakula ni tatizo la Dunia, limeanza na ukame, baadae vita ya Ukraine ikaingia, supply chain za chakula zikavurugika, pamoja na ukame duniani.
Hakuna sehemu duniani utapata chakula kwa bei rahisi kwa Sasa.
Lissu anafanya Siasa za kilaghai tu. Na anayoyahutubia hayana uelewa wa mambo ya mtambuka. Yanaimbishwa tu people's power, kichwani yamejaza machicha ya mbege.
CCM watatumia fursa hiyo kuwaambia vijana kwamba kilimo kinalipa, na Serikali haitaingilia biashara ya kilimo kwa kuvuruga bei.
Hao bodaboda watavutika na kilimo, wataondoka mjini, pia ni fursa ya ajira
Uraia pacha ni haki ya binadamu wote Duniani kasoro Tanzania 🇹🇿 !!Huyo mshikaji si wanae wana uraia wa marekani????Afu ndio atuongelee watanzania wote????? Kua serious na maisha braza au na wewe ndio fresh from..... ....?????
Title ya uzi uliiona?Mkono mtupu haulambwi braza!!!!!!Kama kuyaongelea matatizo yetu watanzania hata sisi tunaweza braza!!!!
ukraine, corona, kenya uganda rwanda DRC visingizio kibao. Damn it halafu unanunua gari za viongozi wako bil 500? Halafu kila report ya CAG inaanika ujambazi wa hao hao wanaopewa V8 za b 500? upuuzi mtupu Toa pelekea ndege wakale visingixio vyako!Bei ya vyakula ni tatizo la Dunia, limeanza na ukame, baadae vita ya Ukraine ikaingia, supply chain za chakula zikavurugika, pamoja na ukame duniani.
Hakuna sehemu duniani utapata chakula kwa bei rahisi kwa Sasa.
Lissu anafanya Siasa za kilaghai tu. Na anayoyahutubia hayana uelewa wa mambo ya mtambuka. Yanaimbishwa tu people's power, kichwani yamejaza machicha ya mbege.
CCM watatumia fursa hiyo kuwaambia vijana kwamba kilimo kinalipa, na Serikali haitaingilia biashara ya kilimo kwa kuvuruga bei.
Hao bodaboda watavutika na kilimo, wataondoka mjini, pia ni fursa ya ajira
Huyo mshikaji si wanae wana uraia wa marekani????Afu ndio atuongelee watanzania wote????? Kua serious na maisha braza au na wewe ndio fresh from..... ....?????