GE2020 Kwanini Lissu atashinda kwa kishindo?

Umechelewa watanzania wameshaamua ni mitano tena kwa Magu, huyo Lissu labda awe Rais wa chama cha waremavu, hata hivyo karibu sana dodoma kwenye sherehe ya kuapishwa kwa rais Magufuli uwanja wa jamuhuri jijini dodoma.
Sema wewe na familia yako, usifikiri watanzania wote ni kula kulala, wanaishi kwa mashemeji kama wewe.
 
Kwa mara ya kwanza ndio nimeamini kumbe kuna wasomi wajinga nchi hii wa kiwango kama hiki, sijawahi kuona tafiti za kijinga kama hizi, dogo kuchambua siasa huwezi kachambue mchele tu
 
Kamanda Yerico ulipotea sana mtandaoni, ama ulikuwa nyuma ya pazia team wataalaam wa Lissu?
 
Jidanganye mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msuba ni bure huko?
 
Fantasy!
 
Sisi Kama Chama Cha Mapinduzi kwa upande wetu tushamaliza Uchaguzi.. Tunasubiri iyena iyena tu hapo kesho kutwa.

Pia Watanzania wataipigia kura CCM na wagombea wake kwa ngazi zote kwa sababu matamanio yao ya muda mrefu Dkt Magufuli ameyatatua kwa 70℅. Ivyo Watampa kura za ndio Mh Magufuli ili akamalizie hizo 30℅ zilizo baki.
 
Kama hizo hesabu ni sahihi basi huko Dodoma waongeze mafeni
 
Umechelewa watanzania wameshaamua ni mitano tena kwa Magu, huyo Lissu labda awe Rais wa chama cha waremavu, hata hivyo karibu sana dodoma kwenye sherehe ya kuapishwa kwa rais Magufuli uwanja wa jamuhuri jijini dodoma.

Hao walikuwa wanafundishwa kupiga kura na Zungo wakiwa darasani ndo watanzania walioamuwa. Utashangaa masanduku waliyopigia kura yatakaposhindwa kuingizwa kwenye vituo na mengine yatakamatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…