Kwanini leseni za udereva hazina "smart chip" wala "password"? Police akiwa anatoa "fine ticket" dereva afanye "fingerprint confirmation"?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,318
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

QUESTIONS ONE: VP KAMA MTU ANAYEFANANA NA MIMI (LET'S SAY PACHA AU IDD AMINI ANAVYOFANANA NA YULE JAMAA WA KENYA) AKACHUKUA LESENI YANGU KISHA KUTENDEA KOSA???

QUESTION TWO: KAMA MTU ANA BIFU NA ASKARI WA USALAMA BARABARANI NA ANAJUA NUMBER YA LESENI YAKO ANAWEZA KUKUBAMBIKIZIA KOSA? POLISI KAMA JESHI WANAFANYA NINI KUDHIBITI "RISK" YA NAMNA HII???

SOLUTION ONE: Kwanini traffic akiwa kwenye mchakato wa kutoa ticket ya fine kwenye ile mashine yake kusiwe na namna ambayo dereva anaweza kuweka fingerprint yake kisha system za TRA zika confirm kuwa dereva ndio mmiliki wa leseni.

SOLUTION TWO: Kwanini driving license zisiwe na chip pamoja na password kama ya ATM card kiasi kwamba traffic akiingiza license number kutaka kutoa ticket ya fine ni lazima dereva aingize password yake.

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE.

VODACOM WAMECHUKUA WAZO LANGU
 
OMBI: NSSF nipeni pesa zangu. Mtaani maisha ni magumu sana. Mungu anawaona mjue?
Nitaanza chini kwenda huu, NSSF wamechacha wako hoi kifedha wanaishi kwa kuokoteza michango ya walio kazini ili wawalipe wastaafu, ndiyo sababu walibadilisha tarehe ya kulipa wastaafu toka tarehe 24 ya mwezi kuwa baada ya 28 wakishapata za walio kazini; Ninakushauri wasamehe kwa sasa kwani walikopwa sana na kulipwa ni majaliwa.
SOLUTION TWO, naona hauna hiyo solution badala yake umeweka swali!
Wakati walipoanzisha leseni hizo na mbwembwe zake zote kuwa zitatunza taarifa za muhusika, cha kushangaza nilipoipata nikashindwa kuelewa tekinolojia inayotumika kuhifadhi taarifa jambo ambalo halipo na haliwezekani kwa kuwa haina chip. Inawezekana wahusika wa mwanzo walipiga mzigo kama wa vitambulisho vya taifa.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

QUESTIONS ONE: VP KAMA MTU ANAYEFANANA NA MIMI (LET'S SAY PACHA AU IDD AMINI ANAVYOFANANA NA YULE JAMAA WA KENYA) AKACHUKUA LESENI YANGU KISHA KUTENDEA KOSA???

QUESTION TWO: KAMA MTU ANA BIFU NA ASKARI WA USALAMA BARABARANI NA ANAJUA NUMBER YA LESENI YAKO ANAWEZA KUKUBAMBIKIZIA KOSA? POLISI KAMA JESHI WANAFANYA NINI KUDHIBITI "RISK" YA NAMNA HII???

SOLUTION ONE: Kwanini traffic akiwa kwenye mchakato wa kutoa ticket ya fine kwenye ile mashine yake kusiwe na namna ambayo dereva anaweza kuweka fingerprint yake kisha system za TRA zika confirm kuwa dereva ndio mmiliki wa leseni.

SOLUTION TWO: Kwanini driving license zisiwe na chip pamoja na password kama ya ATM card kiasi kwamba traffic akiingiza license number kutaka kutoa ticket ya fine ni lazima dereva aingize password yake.

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE.

OMBI: NSSF nipeni pesa zangu. Mtaani maisha ni magumu sana. Mungu anawaona mjue?
Wewe Afande wa jeshi lisilojulikana Jf Ahsante kwa mawazo mapana na kwa uzalendo wako mzuri, tatizo hela zimeshapigwa ndugu yangu, hiyo lessen ya sasa haina tofauti na kiparata cha mpiga kura kwani wapo watu leo wamegushi na wanaweka picha zao na kusukuma ndinga bila hofu, pamoja na wazo zuri ila unaponikwaza nikiwa nimetulia zangu pale magogon ni kunidai kitu ambacho sina kwa mda huu, so hapo ndio unaponifanya nisielewe hata unachokiongea
 
Tatizo mmefanya ‘makosa’ ya barabarani kuwa chanzo cha mapato, yangeyange kutwa kuzunguka na vimashine vile kutimiza hesabu.... sasa mnaona bora ziwe na ‘smart chip’ kama ‘credit cards’ kabisa.
 
hii hoja wange introduce kabla hawajatoa huu mkakati mpya mf mm nimesha renew tutakutana miaka mi 5 baadae
Mkuu, issue ya smart chip ni ngumu kwa ambao tayari wanazo leseni mpya ila issue ya password inawezekana.

Wakiingiza number ya leseni inawaletea jina la mmiliki kisha wa leseni kisha anaweka password yake alafu mengine ndio yanaendelea
 
Back
Top Bottom