Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,329
- 1,044
Hapo suala la mila linakujajeInategemeana na familia unapotoka na mila pia. Si zote
Kuna hii kasumba ya baadhi ya familia kijana wa kiume hata kama hajafikia umri wa kuoa, wazazi au ndugu zake wanamwambia ...
Huo ni Umasikini tu wa Akili kama ulivyo Umasikini wa Kipato hivyo usishangae sana / mno Mkuu.Kuna hii kasumba ya baadhi ya familia kijana wa kiume hata kama hajafikia umri wa kuoa, wazazi au ndugu zake wanamwambia asioe mapema kwasababu hatawasaidia ndugu zake. Uhusiano wa mimi kuoa na kuwaidia ndugu au wazazi unakujaje hapa? Mi naona wangefocus kumuombea kijana awe na kipato kikubwa na awe na moyo wa kusaidia.
Nyinyi mnaonaje?
Katika pitapita zangu nimekutana nalo kwenye familia mbalimbaliKwani wazazi wamekuambia usioe mapema??
NAKAZIAKATAAA NDOA
NDOA NI UJAMBAZI
π π π π π π π π π π πKATAAA NDOA
NDOA NI UJAMBAZI
[emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135]
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈLovie
π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§Tatizo La Mfumo Tegemezi Unaendelea Kurithishwa Vizazi Na Vizazi.
Kila Familia Ingeweza Kujenga Msingi Mzuri Haya Mambo Ya Utegemezi Yangeisha Pia Yangefanya Kuunda Strong Empire.
Mara nyingi ni maneno ya mama yakoe hayo!!!Kuna hii kasumba ya baadhi ya familia kijana wa kiume hata kama hajafikia umri wa kuoa, wazazi au ndugu zake wanamwambia asioe mapema kwasababu hatawasaidia ndugu zake. Uhusiano wa mimi kuoa na kuwaidia ndugu au wazazi unakujaje hapa? Mi naona wangefocus kumuombea kijana awe na kipato kikubwa na awe na moyo wa kusaidia.
Nyinyi mnaonaje?
Kuna hii kasumba ya baadhi ya familia kijana wa kiume hata kama hajafikia umri wa kuoa, wazazi au ndugu zake wanamwambia asioe mapema kwasababu hatawasaidia ndugu zake. Uhusiano wa mimi kuoa na kuwaidia ndugu au wazazi unakujaje hapa? Mi naona wangefocus kumuombea kijana awe na kipato kikubwa na awe na moyo wa kusaidia.
Nyinyi mnaonaje?
π§Kua uyaone mkuu...