Kwanini komredi Polepole na Jaji Warioba waliokuwa wajumbe wa Tume ya Katiba wanasema huu siyo wakati muafaka wa kutengeneza Katiba?

Komredi Polepole alisema kimsingi Katiba huandaliwa na Rais anayetoka madarakani kama ilivyokuwa mzee Kikwete lakini siyo aliyeingia madarakani

Jaji Warioba anasema Katiba ni sheria ambayo hubadilishwa wakati kwa wakati kulingana na mahitaji na kwamba sasa siyo muda muafaka kwa sababu hatutaweza kufanya kura ya maoni kutokana na janga la kidunia la covid 19.

Je, Jaji Warioba na Komredi Polepole wana hoja?

RIP Dr Sengodo Mvungi!
Acha uongo wa kumlisha maneno Warioba! Aliyesema Corona ni Rais.
 
Komredi Polepole alisema kimsingi Katiba huandaliwa na Rais anayetoka madarakani kama ilivyokuwa mzee Kikwete lakini siyo aliyeingia madarakani.

Jaji Warioba anasema Katiba ni sheria ambayo hubadilishwa wakati kwa wakati kulingana na mahitaji na kwamba sasa siyo muda muafaka kwa sababu hatutaweza kufanya kura ya maoni kutokana na janga la kidunia la Covid 19.

Je, Jaji Warioba na Komredi Polepole wana hoja?

RIP Dr Sengodo Mvungi!
Tehe tehe!
 
Bwashe nahisi umemlisha mzee Warioba matango pori. Haya hayawezi kuwa mawazo yake.
 
Back
Top Bottom