Mwanaoshimba
Member
- Mar 8, 2017
- 61
- 82
Kuna namna ya treatment ya kupunguza hiyo acid kwenye kiporo kabla ya kukila?Kiungulia maana yake ni kwamba tumboni kuna acidi nyingi sana na sometimes hupelekea kurudi juu (reflux) ya koromelo(oesophagus) na kusababisha kiungulia.
Hivyo Mara nyingi sana vyakula vilivyolala vinakuwa na acidi nyingi kuliko chakula chenyewe halisi hivyo husababisha acidi kuongezeka tumboni na hatimaye kiungulia hutokea.
Nimeongeza hapo juuKuna namna ya treatment ya kupunguza hiyo acid kwenye kiporo kabla ya kukila?
Asante sana mkuu.Nimeongeza hapo juu
Mkuu unapozungumzia acid unamaanisha vitu kama Hydrocloric acid, nitric acid, sulphuric acid, phosphoric acid, acetic acid, latic acid, ascorbic acid nk nk. Sasa hapa ulivyosema vyakula vilivyolala vinakuwa na acid, je hiyo acid inatoka wapi ambapo awali haikuwepo?? Kuna any reaction mechanism inayoleta acid chakula kikilala?Kiungulia maana yake ni kwamba tumboni kuna acidi nyingi sana na sometimes hupelekea kurudi juu (reflux) ya koromelo(oesophagus) na kusababisha kiungulia...
Hahahahaha! Mkuu tunatafuta namna ya kutibu tatizo, siyo kuacha kabisa!nadhani solusheni ni kutokula viporo
Kweli! Hapo bado panahitaji ufafanuzi zaidi.Mkuu unapozungumzia acid unamaanisha vitu kama Hydrocloric acid, nitric acid, sulphuric acid, phosphoric acid, acetic acid, latic acid, ascorbic acid nk nk. Sasa hapa ulivyosema vyakula vilivyolala vinakuwa na acid, je hiyo acid inatoka wapi ambapo awali haikuwepo?? Kuna any reaction mechanism inayoleta acid chakula kikilala?
au uvifreez mkuu, nahisi ni solusheni nzuri hiyo mkuuHahahahaha! Mkuu tunatafuta namna ya kutibu tatizo, siyo kuacha kabisa!
Hoja ni kwa nini kiporo kinasababisha kiungulia? Zingatia mada.Kiungulia (kwa Kiingereza heartburn)
Ni hali ya kusikia maumivu makali katika koo la chakula. Maumivu hayo yana tokana na kupanda
kwa asidi iliyomo tumboni (asidi haidrokloriki = HCl) inayofanya kazi ya
kuua vijidudu vina vyoingia tumboni kwa njia ya chakula na maji. Mara nyingi kiungulia kikatokea baada ya tumbo kujaa gesi. Kiungulia kinaweza kuwa na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na.....
Mkuu umenikumbusha mbali kuhusu magnesium kwenye kemia tuliambiwa nI metal sasa siku gas zilijaa matumboni kwenda hospital tukapewa vidonge vinaitwa magnesium tukaduwaa ila tulivipenda Ukawa kama mchezo kujifanya tunaumwa matumbo...Mkuu unapozungumzia acid unamaanisha vitu kama Hydrocloric acid, nitric acid, sulphuric acid, phosphoric acid, acetic acid, latic acid, ascorbic acid nk nk. Sasa hapa ulivyosema vyakula vilivyolala vinakuwa na acid, je hiyo acid inatoka wapi ambapo awali haikuwepo?? Kuna any reaction mechanism inayoleta acid chakula kikilala?
Chakula kilicholala kinaweza kuingiliwa na acid forming bacteria hivyo kusababisha acidi iongezeke kwenye chakula.Youngblood mjibu Ontario tunenepeshe bongo zetu. Hii ndiyo mijadala yenye shine na sio siasa muda wote. Anxious to hear from both of you Young blood and Ontario.
Sasa nimekuelewa-Nina acid reflux inayonitesa kwa muda sasa,huwa nilikuwa najiuliza ni kwa nn kila nikila chakula huwa inapanda kwenye koo haraka sikupata jibu.ThanksKiungulia maana yake ni kwamba tumboni kuna acidi nyingi sana na sometimes hupelekea kurudi juu (reflux) ya koromelo(oesophagus) na kusababisha kiungulia...
Mkuu ukimaliza kula kiporo chako chukua karanga zako tafuna kidogo utakuja kunishukuru..Kuna namna ya treatment ya kupunguza hiyo acid kwenye kiporo kabla ya kukila?
Karanga zinatakiwa kuwa mbichi au zimekaangwa?na unatakiwa kwa siku kula karanga mara ngapi kuondoa tatizo mkuu?Mkuu ukimaliza kula kiporo chako chukua karanga zako tafuna kidogo utakuja kunishukuru..