mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 412
=thamanimwanaume yupo radhi alale njaa asiende kazini alie kipinde tuu anaanza kumtokea Dem but akishamgegeda tuu dhaman hushuka na kuanza kumwona wa kawaida na hivyo hivyo kwa mwanamke kipindi anatongozwa huringa sana dhaman yake huwa juu sana ila akishakubali kuvua tuu dhaman hushuka na kuanza kujileta mwenyewe hii inatokana na nn?
Labda kama ni matamanio ya Kongo.no tuu ndio thamani hushuka lakini kama umempenda kibkwelii kwelii thamani haiwezi shuka
Asante sana Mkuu Bavaria kwa kuongezea.Na thamani inazidi kupanda kila siku.
Hivi kuna wanaume bado wanajua thamani ya wanawake kweli?i doubt itSio kweli na sio wote.
Kuna wengine wanawaheshimu sana wanawake.
Thamani ya mwanamke ipo tu siku zote na haiwezi kushuka.
Ni kweli kabisa thamani kwa unaempenda mkishasex upendo uwa ni maradufuLabda kama ni matamanio ya Kingono tuu ndio thamani hushuka lakini kama umempenda kibkwelii kwelii thamani haiwezi shuka
Ni sawa na mtu akiwa anaomba kazi uwa mnyenyekevu sanaHukumpenda bali ulimtamani Tu ..
hata ukiwa na kiu ukishakunywa maji hutaona thamani ya maji tena sababu kiu imeisha
=thamani
Ahsante mkuuKuandika nako bado ni tatizo kubwa kwa Watanzania!!
Hongera kwa kazi nzuri!!
Mie ndio maana sifanyi sex, tuchezeeeeee, tushikane shikane shikaneeeeeeeeeeeeeeeeeeeNi kweli kabisa thamani kwa unaempenda mkishasex upendo uwa ni maradufu