Kwanini kipindi mwanaume anamtongoza msichana hunyenyekea sana?

mzibua chemba

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
478
500
Mwanaume yupo radhi alale njaa asiende kazini alie kipindi tu anaanza kumtokea msichana but akishamgegeda tuu thamani hushuka na kuanza kumwona wa kawaida na hivyo hivyo kwa mwanamke kipindi anatongozwa huringa sana thamani yake huwa juu sana ila akishakubali kuvua tu thamani hushuka na kuanza kujileta mwenyewe hii inatokana na nini?
 

Roger Sterling

JF-Expert Member
May 10, 2015
12,322
2,000
Wanawake wanaoamini thamani yao ipo katikati ya miguu, thamani yao huwa katikati ya miguu. Ndio hawa ukishafunua, huna sababu tena ya kumthamini. Some of these mamas really have nothing to offer, but their genitals. And they'll squeeze your pockets for it, that way it becomes lose-loose after.
 

Masinki

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
616
500
Kuomba penzi ni sawa na kuomba kazi siku ya kwanza mpole ukipata kichwa juu!!!by the way inafuatana na huyo uliyemtongoza ana thamani gani kwako kama ulimtamani tu haina haja ya kumpa credit all time,hivyo anaweza piga simu ukapotezea,lakin kama ulimtongoza kwa nia ya kumpenda kutoka moyoni una mpatia thumb up kamwe huwezi kumbeza!!!!blessed
Masinki
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom