IamInLoveWithElders
Member
- Nov 18, 2016
- 55
- 43
...kwanini cha binadamu hakitumiki? karibuni tujadili
Una maana gani Unaposema binadam ndo anakula vizuri ? Au ni kitu gani kinafanya chakula cha binadam kiwe kizuri ? Na je umeangalia uhitaji wa mimea inayohitaji hiyo mbolea...kwanini cha binadamu hakitumiki? karibuni tujadili
Hakitumiki wapi kama mbolea? Hapa Tanzania kinatumika pia. Usilolijua haifai kutoa hitimisho kama ulivyofanya....kwanini cha binadamu hakitumiki? karibuni tujadili
...kwanini cha binadamu hakitumiki? karibuni tujadili
Hakitumiki? Nenda Dodoma eneo la Swaswa uone wajasiriamali wanavyokitumia kustawisha mbogamboga, ila siku zote najiuliza idara ya afya inawahakikishiiaje usalama watu dodoma kwa kula hizo mboga...kwanini cha binadamu hakitumiki? karibuni tujadili
Siyo kweliilo shamba litakua lina nzi wengi alfu linanukaaa
ilo shamba litakua lina nzi wengi alfu linanukaaa
Being honest Dodoma si sehem salama kula mboga za majani kutokana na jinsi zinavyolimwa na kustawishwa. Pia nyama za Dom si za kubugia kama uko Al Jazeera au Kitonga ComfortHakitumiki? Nenda Dodoma eneo la Swaswa uone wajasiriamali wanavyokitumia kustawisha mbogamboga, ila siku zote najiuliza idara ya afya inawahakikishiiaje usalama watu dodoma kwa kula hizo mboga
Safi sana ... Lazima utakuwa mwana UKAWA wewe.Ukisoma kuhusu mnyororo wa chakula, utagundua kuwa mimea (primary producer) in high energy level/ calorific value kuliko wanyama kama mbuzi, ng'ombe nk (ambao wao ni primary consumer) pia wanyama kama hao swala, mbuzi, ng'ombe nk ambao wanakula majani yenye kiwango cha juu cha calorie wana high energy level kuliko binadamu, simba and the like ambao ni secondary consumer na pia binadam wana high calorific value (energy level) kuliko wanyama kama fisi and the like.
Kwa hiyo technically ukitumia mbolea ya majani (mboji) ni nzuri zaidi kuliko mbolea ya ng'ombe na mbuzi, pia ukitumia mbolea ya ng'ombe na mbuzi ni nzuri zaidi kuliko kutumia kinyesi cha binadamu and so on...
View attachment 440678