Kwanini Kinyesi cha wanyama hutumika kama Mbolea wakati binadamu ndio anayekula vizuri zaidi?

Sisi ndo hatutumii lakina katika mbolea bora na yenye nutrients zote ni ya binadamu sema uandaji wake na mazoea ndo changamoto kuna sehemu hapa tz kuna Mkulima ananyonya majitaka kwenye matenka anapeleka kwenye Shamba lake la kahawa kupitia drip irrigation anavuna balaa first grade kahawa ana export nje anauza bei ghali sana ktk soko la dunia
 
Hamna mbolea nzuri na inayostawisha mazao kama mbolea ya kinyesi cha binadamu na inatumika sana sema wew sijui mnazaliwa wapi

mshana jr katumia sana kule upareni!
 
Cha kwako pia kinatumika Ila in kikali wataalam wanasema kinafukiwa kwa kina kirefu zaidi ya mbolea ya kawaida,nimoja ya aina za mbolea za mazao
 
ngoja niulize kivingine:
kwa nini binadamu anaona kinyaa kwa kinyesi chake mwenyewe (hata kama amekula kuku kwa chips) na wakati huo huo anashika vinyesi vya wanyama mfano ng'ombe nk?
 
Hapa Gereza la Segerea walimia Mchina na unastawi vizuri sana. Msimazi pia walimia miwa na mchicha na unakuwa wema, kwa mtogole pia walimia mchicha.
 
Ukisoma kuhusu mnyororo wa chakula, utagundua kuwa mimea (primary producer) in high energy level/ calorific value kuliko wanyama kama mbuzi, ng'ombe nk (ambao wao ni primary consumer) pia wanyama kama hao swala, mbuzi, ng'ombe nk ambao wanakula majani yenye kiwango cha juu cha calorie wana high energy level kuliko binadamu, simba and the like ambao ni secondary consumer na pia binadam wana high calorific value (energy level) kuliko wanyama kama fisi and the like.

Kwa hiyo technically ukitumia mbolea ya majani (mboji) ni nzuri zaidi kuliko mbolea ya ng'ombe na mbuzi, pia ukitumia mbolea ya ng'ombe na mbuzi ni nzuri zaidi kuliko kutumia kinyesi cha binadamu and so on...

food chain.jpg
 
Hakitumiki? Nenda Dodoma eneo la Swaswa uone wajasiriamali wanavyokitumia kustawisha mbogamboga, ila siku zote najiuliza idara ya afya inawahakikishiiaje usalama watu dodoma kwa kula hizo mboga
Being honest Dodoma si sehem salama kula mboga za majani kutokana na jinsi zinavyolimwa na kustawishwa. Pia nyama za Dom si za kubugia kama uko Al Jazeera au Kitonga Comfort
 
Ukisoma kuhusu mnyororo wa chakula, utagundua kuwa mimea (primary producer) in high energy level/ calorific value kuliko wanyama kama mbuzi, ng'ombe nk (ambao wao ni primary consumer) pia wanyama kama hao swala, mbuzi, ng'ombe nk ambao wanakula majani yenye kiwango cha juu cha calorie wana high energy level kuliko binadamu, simba and the like ambao ni secondary consumer na pia binadam wana high calorific value (energy level) kuliko wanyama kama fisi and the like.

Kwa hiyo technically ukitumia mbolea ya majani (mboji) ni nzuri zaidi kuliko mbolea ya ng'ombe na mbuzi, pia ukitumia mbolea ya ng'ombe na mbuzi ni nzuri zaidi kuliko kutumia kinyesi cha binadamu and so on...

View attachment 440678
Safi sana ... Lazima utakuwa mwana UKAWA wewe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom