Kwanini kila nikiona wasichana wazur wenye makalio makubwa mate hunijaa mdomon kwa wingi kama fisi

JF bna unaweza kuta huyu jamaa na post zake ni boss/mheshimiwa/mwalimu/baba wa familia/anategemewa na familia ila sipati picha anavoificha simu yake ili wanaomzunguka wasiijue ID yake na kusoma ni thread za aina gani anazianzisha.
 
umesema mate machungu chungu, unasikia mate yana jaa mdomoni nadhani ni dalili ya
 
Haaaa haaaa haaa.
Asante mkuu.

Ila uwe makini sana , usije ukatoa mate kwa watoto wa skonga mwisho tukakukuta segerea
Huwaga niko makin sana na hao watu maana anko magu hatanii

Naogopa sana kuwekwa nyuma ya nondo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom